Siri kubwa Umeme Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri kubwa Umeme Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Logo, Aug 24, 2011.

1. Logo

Logo JF-Expert Member

#1
Aug 24, 2011
Joined: Jan 26, 2011
Messages: 588
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Kuna kiongozi mmoja wa ngazi za juu hapa nchini ana mkono wake kwenye makampuni ya mafuta so huyo ndo ameshikilia umeme. Anapopata anatoa mgao kwa viongozi wa juu. huu ni ufisadi mpya wananchi! Hii ni hatari sana tuamkeni watanzania, tukubalini kufa kwa ajili ya mgao wa umeme
tanzania. Nashindwa kuyaweka wazi maana nimo kwenye ofisi hiyo naweza kupoteza unga lakini ukweli ndo huo nchi hii tunaibiwa amkeni!

2. mchapa shughuli

mchapa shughuli JF-Expert Member

#2
Aug 24, 2011
Joined: May 19, 2011
Messages: 524
Likes Received: 318
Trophy Points: 80
weka mambo hadharani,jina la hiyo ofisi na vigogo acha woga..kwani ofisi nzima uko peke yako

3. Logo

Logo JF-Expert Member

#3
Aug 24, 2011
Joined: Jan 26, 2011
Messages: 588
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
baba nitakufa baba nisamehe tu!

4. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#4
Aug 24, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,232
Likes Received: 3,782
Trophy Points: 280
Funguka zaidi ndugu!!

5. Donnie Charlie

Donnie Charlie JF-Expert Member

#5
Aug 24, 2011
Joined: Sep 16, 2009
Messages: 6,575
Likes Received: 842
Trophy Points: 280
...where we dare to talk openly

6. S

Smarty JF-Expert Member

#6
Aug 24, 2011
Joined: Feb 25, 2011
Messages: 729
Likes Received: 149
Trophy Points: 60
weka mambo hadharani usaidiwe!! Otherwise no data no right to speak.

7. AK-47

AK-47 JF-Expert Member

#7
Aug 24, 2011
Joined: Nov 12, 2009
Messages: 1,381
Likes Received: 6
Trophy Points: 135
Huo ugonjwa wa kuficha mambo umeambukizwa na mkuu wa nchi ..maana yeye anasema viongozi wa dini wanaouza madawa anawajua majina anayo lakini hayataji, mafisadi anawajua lakini hawataji

8. Lukolo

Lukolo JF-Expert Member

#8
Aug 24, 2011
Joined: Dec 2, 2009
Messages: 5,137
Likes Received: 76
Trophy Points: 145
mwongo huyu, hana lolote. Ndo walewale tu wa kusema tumekamata kontena la karatasi za kupigia kura zimeshatiwa tiki. Watu wanapageuza JF mahali pa kupotezea muda.

9. RedDevil

RedDevil JF-Expert Member

#9
Aug 24, 2011
Joined: Apr 30, 2009
Messages: 2,287
Likes Received: 903
Trophy Points: 280
Huyu jamaa aliyeleta hii habari ni sawa tu na mkuu wa hiyo ofisi! Hana lolote, ni jambaka tu! Huwezi kutuletea habari kama udaku hapa jamvini. Tunaomba utuombe msamaha kwa kutuharibia siku yetu.

10. Utingo

Utingo JF-Expert Member

#10
Aug 24, 2011
Joined: Dec 15, 2009
Messages: 7,121
Likes Received: 184
Trophy Points: 160
mwaka huu tutasoma mpaka posts za maruhani

11. N

NCHABIRONDA JF-Expert Member

#11
Aug 24, 2011
Joined: Jun 6, 2011
Messages: 238
Likes Received: 5
Trophy Points: 35

hahahaaaaa! Mpaka hapo sina la kuongezea.

12. BABA JUICE

BABA JUICE JF-Expert Member

#12
Aug 24, 2011
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 428
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
ufe mara ya pili funguka acha woga

13. D

Danniair JF-Expert Member

#13
Aug 24, 2011
Joined: Feb 18, 2011
Messages: 361
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Usituzuge kutupotezea muda sema weka mambo hadharani, Hapa si mahakamani bali tuko jamvini.

14. Kabembe

Kabembe JF-Expert Member

#14
Aug 24, 2011
Joined: Feb 11, 2009
Messages: 2,236
Likes Received: 928
Trophy Points: 280

Huyo kiongozi babako?

15. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#15
Aug 24, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160

kaka m PM invisible au MM Mwanakijiji atakusaidia hii ishu ok ndugu huo ndio msaada wangu..

na hapo tena utashindwa basi..

16. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#16
Aug 24, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Hata mimi nilishawahi kusikia hii habari ila nikaipotezea.

17. zomba

zomba JF-Expert Member

#17
Aug 24, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 17,081
Likes Received: 49
Trophy Points: 0
Huyo kalewa futari ya kualikwa, ndio siri ipi sasa aliyoisema? Pumba zingine hazina hata maana.

18. BONGOLALA

BONGOLALA JF-Expert Member

#18
Aug 24, 2011
Joined: Sep 14, 2009
Messages: 13,784
Likes Received: 2,393
Trophy Points: 280
Tunajua TOTAL ya mramba,KOBIL,TSN,BIG BON za riz1 jk,TIOT ya mboma,OIL COM ya ah mwinyi.sasa mwaga data zako tuujue ukweli

Loading...