Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    526
Hivi unaamini kweli arguements zako au unaandika tu.
Yani wote emirates, ethiopia airways na mashirika kama malysia airways, sijui nini woote wanafanya hivyo kuconfuse people kweli hiki kichekesho.
Pili you keep mentioning NASA kila mara NASA.
Kwani nasa tu ndiyo wamesema hivyo?
India ana satelite angani hajasema kuwa dunja ni flat.
China ana satelites angani tena yeye kaenda mbali zaidi ameanza jenga space station yake peke yake hajasema dunua ni flat.
Urusi ana satelites zake angani hajasema dunia ni flat.
Ulaya wana satelites zao angani hawajasema dunia ni flat.
Japan ana satelites zao angani hawajasema dunia ni flat.
Nigeria wana satelite angani hawajasema dunia ni flat.
Amazing yani nchi zote hizo na nyingine ni hasimu lakini unaamini wameshirikiana kukudanganya hilo wote.
halafu unakuja na argiements za kitoto eti unachange ndege ili wakuchanganye what a crap.
What a crap...haiingii akilini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Kama Dunia in Tambarare:
1. Kwa mini nisiweze kusimama kwenye Gorofa refu kwenye pwani ya Dar nikaiona Z'bar ili maili chache tu kutoka Dar?
Kwa mini nisiweze tu kusimama kwenye eneo LA juu pale Mbezi Mwisho nikaweza kuiona Z'bar ileee...!!

2. Hawa wanaomini kuwa Dunia in Tambarare wameshindwa kujikusanya kweli na kutuma ka Satellite kadogo tu anga za huu na kupiga picha zinazothibitisha kwamba Dunia imekaa kama Meza??
Mbona wenzao wameweza kupiga picha kutoka angani zinzothibitisha kuwa Dunia in Duara halafu wanazikataa??
Watoe zao za kuthibitisha kwamba Dunia in Meza..!!!

Punguza Uzwazwa....
Zanzibar inatazamana kwa usawa na Pwani ya Bagamoyo na sio Dar
Hata ukiwa unaenda Zanzibar kutokea Bandarini Dar utaona inafuata uelekeo wa kaskazini kuipita Msasani Peninsula ( can you imagine now )
Labda useme tujenge jengo refu maeneo ya Pwani ya Bagamoyo halaf tuone kama tunaweza kuiona Zanzibar na sio kutokea Dar....
The same to Mbezi
 
Kitu kinachonifanya niendelee kuamini kuwa dunia ni duara ni usiku na mchana, yaani huku kukiwa usiku nchi zingine kunakuwa mchana........kama dunia ingekuwa flat au nusu duara, jua lingekuwa linafika katikati basi dunia nzima yaan nchi zote ingekuwa mchana lakini hiki ktu hakiwezekani lazima kwingine kuwe usiku kwingne mchana, halafu UN bendera yao waliitoa hivo ili mabara yote yaonekane vizuri (yaani picha imechukuliwa juu ya dunia na sio pembeni kama picha zingine zinavyoonesha)
Kwa kifupi ile ni logo.... na lengo lao ni kuonyesha mabara yote. Ni vigumu kupata picha moja yenye mabara yote kiuhalisia hata ipigwe kutoka umbali gani.

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
brother naomba unitafutie picha ya dunia from spece ya nasa ambayo sio cgi ambayo imepigwa live kutoka mwezini au sayari nyingine as simple as that ,,kabla hatujaingia kwenye vitu deep zaidi ,,,,,fanya utafiti kwanza
Tunaomba picha halisi ya Flat Earth ili na sisi tukubaliane na wewe.

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Hivi unaamini kweli arguements zako au unaandika tu.
Yani wote emirates, ethiopia airways na mashirika kama malysia airways, sijui nini woote wanafanya hivyo kuconfuse people kweli hiki kichekesho.
Pili you keep mentioning NASA kila mara NASA.
Kwani nasa tu ndiyo wamesema hivyo?
India ana satelite angani hajasema kuwa dunja ni flat.
China ana satelites angani tena yeye kaenda mbali zaidi ameanza jenga space station yake peke yake hajasema dunua ni flat.
Urusi ana satelites zake angani hajasema dunia ni flat.
Ulaya wana satelites zao angani hawajasema dunia ni flat.
Japan ana satelites zao angani hawajasema dunia ni flat.
Nigeria wana satelite angani hawajasema dunia ni flat.
Amazing yani nchi zote hizo na nyingine ni hasimu lakini unaamini wameshirikiana kukudanganya hilo wote.
halafu unakuja na argiements za kitoto eti unachange ndege ili wakuchanganye what a crap.
Na kiduku nae akubali kudanganywa, hakuna uongo ambao ukweli wake ukajulikana alafu ukadumu, hakuna.

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
prove to me the earth is round now we ndo umepanda ndege na kuizuguka dunia ,,,au prove to me the earth's movement me naweza kuprove dunia ni flat kwasababu kwazanza kabisa sehemu zangu za fahamu zinatambua hilo yani nikiangalia kwa macho na ona kabisa dunia ni tambarare ssa sjui wewe unaonaonaje pia me naweza kutumia macho yangu kuona jinsi jua na mwezi pamoja na nyota zinavyo zunguka angani lakin sisi tumesimama 2 ,,,,,sasa dunua ingekua inazunguka ndege zingewezaje kupaa jamani tumienni akili wanasayansi watasema ni GRAVITY lakin sidhani kuna mtu anaeweza kunipa difinition ya gravity humu ndani kwasabbu niliangalia kipindi kimoja cha nasa ambapo proffesor alishidwa kudefine gravity ,,,,ni sumaku gani hii ya maajabu inayo vuta kila kitu na kutufanya tuone dunia imetulia tuli japokua tunazunguka kwa spidi kubwa kuliko hata ya ndege,,,,jaribu kutafakari kwa kina

embu jaribu kufatilia route zako ulizo sema na utupe ushahidi kama zipo kuna website nyingi za kutrack route za ndege sidhani kama unatambua hilo angalia na uone kama kuna ndege inapaa kupita juu ya north pole au ndege zinazotoka brasili mpaka australia zinatumia route gani hakuna ndege direct...jifunze zaidi
Ukiwa kwenye chombo cha usafiri huwa unaona miti, nyumba, yaani kwa kifupi vitu vilivyo nje ya usafiri huo, vinatembea in opposite direction. Hapo vipi macho yako pia yanakwambia ni kweli hivyo vitu vinatembea? Unamiss points ya msingi kabisa relativity.

Kwa wale wanaovuka kwa pantoni/ferry fanya utafiti kidogo, jaribu kufumba macho yako wakati pantoni ikiwa kwenye mwendo, je, unaweza kuhisi pantoni ipo kwenye mwendo. Je, unadhani kama ikienda kwa constant speed kwa kasi kubwa sana je, unadhani utahisi tofauti?

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
nasa inabidi wapewe nafasi yao katiika hili maana wao ndo wanacontradict watu na kama wewe ni mfatiliaji mzuri utagundua kwamba nasa ananafasi kubwa kwenye hii deception ,,kuhusu swala picha halisi ya dunia ,, naomba noweke wazi kwamba dunia ni kubwa sana na pia there is nothing that can go far enough kupiga picha ya dunia yote kabisa kama mnavujua kuna VAN ALLEN BELT HAPO NDO MWISHO WA BINADAMU KUFIKA NA NI KABLA YA KUFIKA HATA KWENYE MWEZI,,,FATILIA AISEE THATS WHY HAKUNA PICHA HALISI YA DUNIA NZIMA ...NAONA MMEKUBALI KUA PICHA ZA NASA SIO ZA UKWELI
Vipi kuhusu picha za mwezi nazo sio za kweli, je mwezi nao ni flat?.... kama mwezi sio flat kwanin dunia iwe flat?

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
naomba niweke wazi swala la route za ndege ijulikane kwamba ndege zote za masafa marefu zina exchange yani inabidi uende kubadili ndege ndo uendelee na hakuna ndege zinazopita kusuni mwa bahari ya indi na atlanic unawza kuangalia site za kutrackl ndege duniani ujionee mwenyewe . this multiple flight conections are just there to confuse people

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Ww acha utani dunia haiwezi ikaelea kama vipulizo hii dunia ni nzito sana.
Kwahiyo mwezi unaona umeshikiliwa na wapwa zako?

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Sasa kama dunia ni mduara na inaelea angani na muda wote inazunguka kwanini maji ambayo yapo baharini hayamwagiki na wakati huo hayajaganda.
Ni sawa na kuuliza kwanin ukiwa kwenye gari abayo umefunga vioo, nzi anaruka very comfortable in any direction na hajigongi kwenye gari.

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Mie enz wananifundisha eti dunia ndo inazunguka nilgoma had leo nmegoma sema tu in case ya kufaulu nami naandka dunia inazunguka ila sihtaj kufanya utafiti kwa kitu nachokiona kila siku kuwa jua linazunguka.

Hata ktk Biblia kuna verse moja katka Kitabu cha Yoshua inasema Mungu alisimamisha jua had Israel ikashinda vita. sasa kama Mungu alismamisha jua maanake lilikua linazunguka otherwise angesimamisha dunia kama kweli dunia ndo inazunguka,Na mimi najua Mungu hasemi uongo.

Hvyo nimebaki kumtukuza Mungu kwa huu uumbaji wa ajabu.
Kasema Mungu au wamesema watu.?

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Ni uelewa wako mdogo lakini kuna mambo madogo ungewza kufikiri na kupata majibu
1. Kama Dunia ni tambarale Jua linazama wapi ?
2.Mwezi hujificha wapi wakati Dunia ni tambarale.

Mkuu Jua huzunguka katika mfumo wake (milk away galaxies) na sayari huzunguka Jua pia sayari ya Dunia huzunguka Jua na tunapata msimu wa Mwaka na Dunia hujizungusha yenyewe kwa masaa 24 tunapata siku,
Mwezi ndio huzunguka Dunia
Yes mwezi tunaweza kusema unafanya spiral movement, kwa sababu baada ya mzunguko mmoja dunia haiwezi kuwa pale inakuwa imesogea kwa almost 1/12 ya length ya orbit yake.. kwa maama every second dunia inasonga mbele so as moon (conservation of momentum).

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Nimetoa kwenye bible ya wakatoliki
20200511_233110.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom