Je, wajua siri kubwa kwanini watu wa bara la asia wanaishi miaka mingi sana na huku miili yao ikiendelea kuwa na afya tele?
Siri hii ni kwamba watu hawa hupendelea sana kufanya mazoezi pamoja na matumizi ya kinywaji cha green tea.
Zifuatazo ni faida kuu zipatikanazo katika matumizi ya kinywaji cha green tea.
1.Inapunguza risk ya kupata kansa.
2.Inaondoa mafuta mabaya mwilini(bad cholestrol)
3.Inasaidia kuweka moyo safi kwa kuwa inaunguza mafuta.
4.Inasaidia kwenye mmeng'enyo wa chakula.
5. Inasaidia kupunguza uzito.
6. Inasaidia matatizo ya ngozi.
7. Inaufanya mwili usizeeke haraka..(anti aging)
Wasiliana nasi kwa namba 0653299934..au fika katika kituo chetu kilichopo kinondoni studio.