Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

View attachment 696264 kaorodhesha hapo kama upo instagram nadhan utakuwa umeona makampuni aliyotaja na forex ikiwemo ,ukiona mtu anajitangaza sana na kukuita kwenye fursa jua fursa ni mwenyewe unaeitwa,ukiona unaitwa sehemu kuna fursa halaf kuna kiingilio unatakiwa ulipe kimbiiiiiaaaaaa kwanini kama kuna utajiri wasitajirishe ukoo wao kwanza (maneno kuntu haya)
Yaaani kwa miaka yote Mange hapo kaongea point
 
View attachment 696264 kaorodhesha hapo kama upo instagram nadhan utakuwa umeona makampuni aliyotaja na forex ikiwemo ,ukiona mtu anajitangaza sana na kukuita kwenye fursa jua fursa ni mwenyewe unaeitwa,ukiona unaitwa sehemu kuna fursa halaf kuna kiingilio unatakiwa ulipe kimbiiiiiaaaaaa kwanini kama kuna utajiri wasitajirishe ukoo wao kwanza (maneno kuntu haya)
Akili za kushikiwa na huyo Mange,pole sana!
 
Ngoja nimfowadie hii kitu mdada mmoja hivi na mama yake, ni mashabiki kindaki ndaki wa Mange ila pia walitoka jasho la ziada kunishawishi nijiunge na Qnet, nikagoma!
 
Back
Top Bottom