SHAHIDI: Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT (II)

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,585
NILIAHIDI KUJA NA USHAHIDI IKIFIKA SAA 1:45 USIKU.NASHUKURU NIMEKUJA ON TIME MAANA SAA YANGU INANIAMBIA SASA NI SAA 1:45 hahahahah usilazimishe saa yangu na zenu zifanane

NAMI NIMESOMA KWA MAKINI SANA UZI WA ONTARIO NA NILIPAPENDA SANA HAPA AKITUKARIBISHA WENYE USHAHIDI WA NAMNA MOJA AU NYINGINE

Sasa naomba kupitia uzi huu huu, kama kuna mtu yoyote ambae a ajitokeze na ushahidi na nitakua tayari kuwa responsible kwa lolote.


Ontario, CEO TMT

KWA SABABU ANAOMBA USHAHIDI ILA NALETA HUU AMBAO HAUTAONGELEA UTAPELI ILA WEWE MSOMA UZI HUU UTAAMUA KUCHAGUA PUMBA AU MCHELE


Nimekuja na reply hii kusupport hoja ya mleta uzi kama shahidi namba mbili:

Nitaelezea hoja nne kubwa kabisa katika kuunga kumuunga mkono mleta uzi wetu huu hapa JamiiForums aone ushahidi huu ninaouleta mbele yenu sasa hivi.

Kwanza niseme tu kuwa namshukuru sana SIRJEFF DENIS aka ONTARIO kwa kunitambulisha rasmi katika ulimwengu huu wa FOREX maana nilikuwa sijui chochote before.Kwa hakika amekuwa msaada mkubwa kututambulisha huku

Kwa yeyote yule aliyehudhuria kipindi cha TMT hawezi bishana na mleta mada maana ameongea ukweli kabisa na bila woga wowote ule.Hakuna hata kimoja alichosema ni uwongo,hongera sana mkuu mleta uzi hapa.

SIONGELEI KUHUSU UTAPELI MAANA SINA USHAHIDI HUO (HII KAMA KUNA MWENYE USHAHIDI ATALETA)

WAKUU NIPO HAPA SASA KATIKA KUSSUPPORT KWANZA MAMBO HAYA MANNE
  • Dharau ya ONTARIO kwa wateja wake
  • Kulazimisha wanafunzi wake watumie JP Market Broker na sio mwingine(Ukitumia mwingine unatolewa kwenye kundi)
  • Kudharau serikali(Hapa kasema anamuheshimu rais tu wa JMT pekee na ushahidi naweka hapa)
  • Kuwatoa kwenye group wote wanaomchallenge kwa hoja(Ninao ushahidi wa kusema hivi na nauweka hapa)
DHARAU YA ONTARIO KWA WATEJA WAKE

Kama mleta mada alivyosema hapo juu kuwa Mkuu ONTARIO ni mtu mwenye dharau kubwa sana kwa wateja wake.Haangalii umri wa mtu na hamchagulii mtu jibu la kumpa kutokana na umri wake.

Hamna siku niliumia sana moyoni nikiwa class la TMT kama siku ambayo TMT walipotangaza rasmi kuwa WATU tujaze form walizotupa na kuwakakbidhi.Alikuwepo mzee mmoja hivi ambaye hakupata hiyo taarifa (Taarifa iliwekwa group la whatsApp na yeye hakuwepo huko) hivyo baada ya kipindi akamfuata ONTARIO mbele na kumwambia kuwa mimi sijawekwa hilo group jipya la whatsApp,namba yangu ni hii(Akampa namba aliyoandika kwenye karatasi na kumwambia niadd).

Jibu alilomjibu mzee wa watu lilinifanya hata mimi Deadbody kujawa na wasiwasi na ONTARIO.Ni mzee ambaye kiumri ananizidi sio chini ya MIAKA 25.Mimi ni mkubwa kiumri kwa ONTARIO hivyo kama mzee alikuwa anauwezo wa kunizaa mimi hivyo anauwezo wa kumzaa kaka yake ONTARIO.

Alimjibu kwa kumfokea kuwa NENDA KWENYE GROUP LA MWANZO KACHUKUE NAMBA YANGU UNITEXT NIKUWEKE KWENYE GROUP JIPYA.Dah hii ni kauli ya dharau kutokana na lugha iliyotumika.Sio rahisi kwa tamaduni za kiafrika mtoto kumfokea baba yake kwa maneno makali na kwa sauti kubwa sana.Mzee wa watu akaondoka huku Deadbody nikishuhudia.
img-20180112-wa0008-jpg.674022


Hii screenshot naielezea kama mfuatavyo:

Katika groups za TMT chats zisizo na maana haziruhusiwi kabisa na kujaribu kufanya hivyo huweza kupelekea kutolewa kwenye TEAM.Yeye ONTARIO kwa makusudi kabisa alituma PICHA yake binafsi hivyo member mwenye uthubutu akamuuliza kama unavyoona hapo kwenye screenshot(Does this relate to forex?)...
JIBU LAKE LINATOSHA KUMJUA ONTARIO NI MTU WA AINA GANI
(Jibu lake angalia kwenye Screenshot)

Hii pia ni screenshot nyingine ya ONTARIO


2.KULAZIMISHA WANAFUNZI WAKE KUTUMIA JP MARKET

Cre(Mentor wa TMT) hataki kabisa mtu yeyote yulr kutumia BROKER mwingine tofauti kabisa na broker wao waliyemwandaa JP Market

Baada ya kujadiliana kwa muda mrefu hatimaye wana TMT Tuliopata mafunzo DODOMA kwa wingi wetu kuamua kuachana na JP Market na kukimbia kwa Broker mwingine.Taarifa sijui zilimfiaje akaja na kauli hii kwenye group
upload_2018-1-12_20-6-29-png.674037
upload_2018-1-12_20-6-29-png.674037

Mjadala huu ulitokana na Spread kubwa kubwa mno.Watu walilalamika sana kwanini spread ni kubwa na hatimaye akaja na JIBU hili(Cre)

upload_2018-1-12_19-57-51-png.674028

(Hili jibu ni kutokana na malalamiko kuwa makubwa.Vipi kama watu wangechukulia kuwa ni kawaida kulose kwenye biashara? Hii si ingeendele??)

Halafu anakuja mtu na REPLY HII CHINI

Sina kumbu kumbu kama kuna mtu alilazimishwa kuwatumia jpmarkets, personally natumia tickmill... Kwa hiyo uliposema analazimisha watu umedanganya....

Kudharau serikali(Hapa kasema anamuheshimu rais tu wa JMT

Hii hata siongei sana ila unaweza soma screenshot
img-20180112-wa0007-jpg.674038


Yani Mkurugenzi wa TISS wa Mkoa fulani aliwashindwa.Hahahaha huyu ndio ONTARIO na kama ukisema hana dharau endelea na moyo huo huo

  • Kuwatoa kwenye group wote wanaomchallenge kwa hoja(Ninao ushahidi wa kusema hivi na nauweka hapa)
Hii screenshot ya mwisho alitolewa pia.

Nikijaribu kuweka Audio inaniandikia hivi


Ila msijali,mwana IT nipo kubadili extension ya Audio hii na soon mtaiona hapa
upload_2018-1-12_20-20-49-png.674042


PROBLEM SOLVED
upload_2018-1-12_21-24-6.png


Na AUDIO is loading...





WAKUU HAMNA SEHEMU NIMESEMA ONTARIO NA TEAM YAKE TMT NI MATAPELI.MAMBO NILIYOYAZUNGUMZIA NI MANNE TU

HAYA

  • Dharau ya ONTARIO kwa wateja wake
  • Kulazimisha wanafunzi wake watumie JP Market Broker na sio mwingine(Ukitumia mwingine unatolewa kwenye kundi)
  • Kudharau serikali(Hapa kasema anamuheshimu rais tu wa JMT pekee na ushahidi naweka hapa)
  • Kuwatoa kwenye group wote wanaomchallenge kwa hoja(Ninao ushahidi wa kusema hivi na nauweka hapa)
NA NIMEYAWEKEA USHAHIDI!
HAKUNA CHA ZIADA YA HAYA MAMBO MANNE.HOJA YA KWAMBA TMT NI MATAPELI SIJAIWEKA MIMI HIVYO MAJIBU YA HOJA HIYO SINA.


KWA HIYO UNAPOKUWA UNASIFIA TU BILA KUJUA CHOCHOTE ENDELEA NA MOYO HUOHUO.

DEADBODY
JamiiForums.

Zaidi soma=>Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT
 

Attachments

  • AUD-20180112-WA0006.mp3
    4.5 MB · Views: 295
DEAD BODY HONGERA SANA ASEE

KUNA MISUKULE PAMOJA NA USHAHIDI HUU BADO HAIJATAKA KUAMINI KUWA WAMEIBIWA NA WANAENDELEA KUIBIWA.

THIS ARE FACTS WITH PROOF AMBAZO NI MPAKA UWE MSUKULE NDIO UTAENDELEA KUMUANI HUYO ONTARIO SKUNK.

UMENIFURAHISHA SANA LEO, LEO TUMEPOKEA SHUHUDA ZAIDI YA 30 ZILIZO NA MAELEZO YA UJAMBAZI WA TMT..ILA HII NI SHUHUDA YA PILI KWA MAANA YA UZI..

LEO MPAKA MISUKULE IMEMTEKELEZA BOSS WAO IMEJIFICHA AIBU
 
DEAD BODY HONGERA SANA ASEE

KUNA MISUKULE PAMOJA NA USHAHIDI HUU BADO HAIJATAKA KUAMINI KUWA WAMEIBIWA NA WANAENDELEA KUIBIWA.

THIS ARE FACTS WITH PROOF AMBAZO NI MPAKA UWE MSUKULE NDIO UTAENDELEA KUMUANI HUYO ONTARIO SKUNK.

UMENIFURAHISHA SANA LEO, LEO TUMEPOKEA SHUHUDA ZAIDI YA 30 ZILIZO NA MAELEZO YA UJAMBAZI WA TMT..ILA HII NI SHUHUDA YA PILI KWA MAANA YA UZI..

LEO MPAKA MISUKULE IMEMTEKELEZA BOSS WAO IMEJIFICHA AIBU


Nani kajificha wewe, mna chuki binafsi tu, hata huyo deadbody anajua jinsi gani forex inatoa pesa
 
Back
Top Bottom