Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

Whatever it might be.. The main point inabaki kuwa ni utapel tu
mmmmh forex is world biggest business with 3.5trillion us per day......ni kitu kama ww ni msomi naunaijua dunia hasa kuhusu currency exchange utakua unauelewa mpana inaonesha hujawahi hata safari nchi ya jiran ukabadili fedha ww. .ile kubadili fedha ndo maana ya forex labda tukisema hivo utaelewaa. ....ila mange kamaanisha kuna makumpuni au broker's wanaofanya janja kupitaa kununua na kuzaa fedha kwa njia ya mtandao
 
View attachment 696264 kaorodhesha hapo kama upo instagram nadhan utakuwa umeona makampuni aliyotaja na forex ikiwemo
Kwani kabla mange hajasema ulikuwa hujui?we mtu anakuambia leta milioni 4halafu unavuna milioni mia kadhaa unakubali kutoa hela hujiulizi yeye atakuwa anafanya nini chenye faida kubwa hivyo?mi forever na GNLD walinifanya walinila 2m wakwende hukoo nilishtuka mapema nikakaa pembeni.wote niliowaacha wamepauka kama vipande vya mihogo khaa.hamna cha utajiri wala.nini.
 
Hahahahaah pole sana
 
Halafu members wanajipa moyo kuwa ipo siku watatoboa... Naona yale mapicha mapicha ya kwamba watu wanapata trip sijui za kwenda ufilipino kwa kina Yuri na lady butterfly zinawachachasha akili kwelikweli.....

Siku akinitafuta nitamwambia tu kwa upole mimi nimempenda yeye kama yeye kama yupo tayari kutoa gegedo tunaweza onana ila kama ni mambo ya alliance naomba afute namba yangu maana sitokuwa na muda wa kupokea simu wala kujibu text....
mufanye alliance nyingine!
 
Back
Top Bottom