Siri: Jinsi UZALENDO unavyoumbwa/ tengenezwa

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
Point to ponder;-

UZALENDO source yake ni familia. Na familia source yake ni Mwanaume.

Ndio kusema , kama mwanaume akiipenda familia yake Kwa moyo wake wote, Kwa nguvu zake zote ,Kwa akili zake zote na Kwa roho yake yote...basi ni rahisi sana UZALENDO kuumbwa kuanzia ngazi ya familia, jamii Hadi taifa.

Note: Mwanaume kuipenda familia yake hutegemea sana na maamuzi ya mke aliye nae. I mean like;-

1. Kama mwanamke huyo akikubali kuingia ndani ya moyo wa mwanaume wake, basi itakua ni rahisi sana watoto wa Baba huyo kukaa akilini mwake. Na hapo roho ya Baba huyo itakua na Upendo wa dhati Kwa jamii yake, na Tena Baba huyo atajitahidi sana kuzitumia nguvu alizojaaliwa na Mungu wake, kulisukuma gurudumu la Taifa.

Ndio kusema, kumbe UZALENDO ukipungua nchini , maana yake/ tafsiri yake ni kwamba ...wamama wengi wamekua wakaidi kujisubmit kwenye mioyo ya waume zao. Na hii hupelekea watoto kuwa nje ya akili za Baba zao. Na Tena hao Baba zao wanakua hawana huruma na watoto waliopo kwenye jamii husika. Wizi, Ufisadi, ubakaji, Ukwepaji Kodi huongezeka..na kulifanya Taifa kuzorota.


UZALENDO
 
Wanawake wanaweza kuliponya Taifa Kwa kukubali kukaa kwenye positions zao. Hii itasaidia sana kuwaokoa watoto waliowazaa, itastawisha jamii na kuleta maendeleo makubwa nchini pasipo shuruti.
 
Taifa linaweza kuwa na jamii mbaya, na familia za kihuni kwasababu Mwanamke.

Kwahiyo hata mambo ya ubakaji...ni wanawake ndio wanasababisha
 
Wamama , chonde chonde....wasaidieni waume zenu kuwa wazalendo. Mtaokoa sio tu kizazi hiki Bali na hata vizazi vijavyo.
 
Back
Top Bottom