Siri imefichuka kuhusu wanawake

Siri imefichuka kuhusu wanawake

Ukweli mchungu ni hivi.

Wanawake wasio na kazi,wasio na pesa,HUPENDA KUDATE NA WAZEE/WABABU

wanawake wenye pesa,wenye kazi zao HUPENDA KUTOKA NA WATU WA UMRI WAO

wanawake watu wazima wenye pesa zao HUPENDA KUTOKA NA VIJANA

njooni mbishe

LEO NDO UMEFICHUA HITO SIRI? HIYO NI SCIENCE.... NA SABABU ZINAJIELEZA
 
Back
Top Bottom