Siri imefichuka kuhusu wanawake

Siri imefichuka kuhusu wanawake

Ukweli mchungu ni hivi.

Wanawake wasio na kazi,wasio na pesa,HUPENDA KUDATE NA WAZEE/WABABU

wanawake wenye pesa,wenye kazi zao HUPENDA KUTOKA NA WATU WA UMRI WAO

wanawake watu wazima wenye pesa zao HUPENDA KUTOKA NA VIJANA

njooni mbishe
wewe unadate na type ipi[emoji12] [emoji196] [emoji160] [emoji126]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom