Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,190
^^
Tujadiliane,je siri mbalimbali za wapenzi kuanzia urafiki,uchumba hadi ndoa.
Je,kumpata mwenza atunzae siri sana husaidia kuimarisha mahusiano au huyabomoa?
...
Kuna siri mf. Za maisha ya nyuma yasiyopendeza,mmoja anayaficha kwa mwenzake,
Siri za wapenzi wa siri,
Siri za mipango ya ndoa,
Siri ya mambo ya fedha,
Siri ya furaha na huzuni katika maisha ya chumbani n.k
...
Je siri hujenga au hubomoa mahusiano?
^^
Ablessed Jerrymsigwa mimi49 Lisa Blaine Blue G grafani11 Swts Mrembo by Nature data Black Queen OlesAIDIM Munkari Fixed Point Mshinga Simplicity mito shanshire Shine venine Horseshoe Arch na MMU wote

Last edited by a moderator: