Dada yangu black queen ukiona huyo wa hivyo si chaguo lako sahihi, hata kama ukimficha ili umpate dunia haina siri akijainyaka tu ndani hakukaliki na hapo maumivu yake yanakuwa makubwa kuliko yale ambayo ungeyapata kwa kutengana wakati ule mnaanzisha mahusiano naye.Utata mtupu!
Siri kuhusu watoto, pesa haijengi kabisa.
Wanaume wengine hawana vifua ukimpa kidogo tu yaliyojiri enzi hizo wanapaniki! ya nini masumbufu! Lakini ni vizuri pia ajue kuwa anaweza kufundishwa vilevile, asijifanye anayajua mambo saana!
Wewe ni mwanamke mwerevu sana ndio maana kila siku nikiamka asubuhi nikikuangalia nakuona mpya tu.nilitaka nisichakachue siredi ya watu moja kwa moja........
ila naamin unajua pweint yangu kubwa iko wapi!!!!!!!!!!!!