The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,368
- 103,700
hapo kwenye red inasikitisha sana aisee!!Anafaidi mkuu. Tena wanawali dabini ambao hawajaingiliwa badoooo!!wakati naambiwa kua uyaone sikujua kamantaona vibweka kamahivi. Wakati mwingine mtu unajiuliza hivi akiri huwa wanahazima au zinasahaulika nyumbani
toa uzandiki wako hapa,wanafanyiwa nini?..weka hapa tuyaoneusiombe ukayaona ama kuyasikia wanayofanyiwa wakristo ktk nchi hizo basi tu
mbona yesu alibinua meza za wafanyabiashara hekaluni,alikua anampgania nani?Huwezi kumpigania Mungu. Ni imani potofu tu
Nyooo asiyejua mbeya washirikina naniMungu awalawaze pema waumini waliouawa.
Mioyo yao ina nafasi kuliko akili zaoKi ukweli hapo mimi ndiyo nashindwaga kuelewa kabisa, mtu utakuta anakomaa kusema waislamu wanapenda vita, ukiangalia ukweli hauko hivyo, sijui watu uwa wanatumia nn kufikiri?
najaribu kuvuta picha kama ningekuepo siku hyo msikitini nadhani haja zote zingenitoka..!
Ndo nini sasa uchoandika kumbe huna hata Point,kwako matusi ndiyo umeona ni sifa????JITAMBUE!!!!!!!!!tumia vizuri ujiuji ulio ndani ya fuvu lako,huo kazi yake sio kukumbuka namna ya kuvaa suruali tu na kusafisha tundu dogo baada ya kutoa haja
Wote huwa mnasema hivyo hivyo lakini mioyoni mwenu mwaona fahali sanaComment za mihemko na ubinafsi wa kimaani ni tatizo tuwe na utaratibu wa kushirikisha akili katika kuchangia
MIMI NI MUISLAM LAKINI SIUNGI MKONO HAYO MAUAJI YALIYOTOKEA
mbona yesu alibinua meza za wafanyabiashara hekaluni,alikua anampgania nani?
mbona yesu alibinua meza za wafanyabiashara hekaluni,alikua anampgania nani?
ukweli ni kitu kinachoumiza sana, na ndo maana kila mtu ana namna yake ya kuupokea.akili yako ina matatizo mengi,ina matege pia,ndomana unaenda sana O.P
ndugu unafahamu kuwa mtume alilelewa na wafuasi wa huyo nayemuita mvaa chupi, hata kama ni ujinga basi jitahidi kuficha ujinga wako, na mtume huko alipo anaumia kuona mfuasi wake huna busara kiasi hcho.Hakuna kashfa kubwa kama kumuabudu mvaa machupi, Ningelikuwa mm ni bora hata ningemuabudu mvaa machupi wetu Giggy
Kwani wewe umeelewa nini nikivyosema mvaa MACHUPI?ndugu unafahamu kuwa mtume alilelewa na wafuasi wa huyo nayemuita mvaa chupi, hata kama ni ujinga basi jitahidi kuficha ujinga wako, na mtume huko alipo anaumia kuona mfuasi wake huna busara kiasi hcho.
yesu mungu!..pole sana,humjui mungu,huo msamiati wenu wa mungu hapiganiwi mliouzua hivi karibuni uchambueni ili muone kama ni kweli mungu wa 'majeshi' hapiganiwiUnachanganya mambo. Yesu ni Mungu, ni nafsi ya utatu mtakatifu. Angekuwa anapigania kitu, basi angejipigania mwenyewe asikamatwe na kuuawa. Lakini biblia inasema alijitoa mwenyewe afe ili kila mtu aokolewe. Yesu anaweza kutupigania na ndio maana tunamuomba kila siu atusaidie. Lakini huwezo kumsaidia mungu. Tumia akili ya kawaida. Nikupe mfano mrahisi sana japo wala hauna mantiki sana, marekani wanatusaidia vyandarua na dawa ya ukimwi, lakini sisi hatuwasaidii. kwa nini?