Mkuu pole umewasahau watu km Andy Chandy nae Kahama unayemsema Hilo jina la U-sir ni la utani tu Alipewa NA mwl, lkn Kahama hana status yeyote Ambayo ni tofauti na wengi walionayo leo, kwanza Kahama Alipewa kutokana na ujanja wake I kumbukwe wkt wa uongozi wa mwl Kahama Alipewa tender ya kununua meli ambapo alileta meli used iliyopigana vita vya pili vya dunia kutoka Muungano wa Soviet baada ya mda kadhaa Ile meli iliharibika, Huyu huyu Kahama ndiye aliyewadanganya wa kanada kuwa migodi yote ya Dhahabu ni ya Familia ya Kahama, Hivo kupewa title ya U-sir sio kwamba Kuna unique kafanya, mtu kujiita au kuitwa sir ni kuonyesha tu cheo au heshima aliyonayo lkn sio hadi awe amefanya kitu fulani
Nawaslisha mkuu