bin kamwanah
New Member
- Dec 31, 2015
- 1
- 0
Kwa wale mnaotumia maneno haya "sir" na "madam",naomba niwaulize mlifanya jambo gan ambalo ni Unix/uniki sana mpaka mjipachike hicho cheo cha u-madam na u-sir?.
Tafadhali sana kwa hasa sisi wabongo kwa sababu kila kitu tunafanya kama "shamba la bibi" bongo sir in mmoja tu ambaye ni sir George Kahama tu.
Tuache kutumia haya majina kwa nchi za wenzetu neno sir au madam ni cheo kikubwa sana sasa hapa kwetu kila MTU anajiita sir/madam?