Prof mwesiga Baregu ameigomea kamati kuu ya chadema na kuiambia kwamba hayupo kwenye tume kwa ajili ya kutetea maslahi ya Chadema bali ya Watnzania. Soma majira.
Kama hujaelewa kalale boya wewe...
kwa kweli kitendo anachokionyesha prof ni cha kizalendo. husifuate hao wanafiki. hongela sana prof
kuna watakao kuja kumponda. Subiri tuone
Kama hujaelewa kalale boya wewe...
Kwani tatizo liko wapi hapa?katiba ni ya watanzania na wala si ya vyama,by the way hii habari ni kiporo majira wamekipasha moto maana bila kuitaja Chadema hawatauza kamwe vijarida vyao!!!Kwa wale ambao hawatasoma gazeti hii ndiyo habari kamili ya Prof. Baregu:
Amesema CHADEMA walimtaka afike kwenye Kamati kuu lakini aliwagomea kwa sababu alitambua alichokuwa akikifanya, kilikuwa kwa manufaa ya watanzania si chama chake. "Mimi skuapa kuitetea CHADEMA hata kama ni kada wake bali niliapa kuitetea Tanzania na wananchi wake, vyama vya siasa vinaweza kufa lakini Tanzania haiwezi , itaendelea kuwepo milele hivyo lazima tuheshimu hilo." alisema Prof Baregu. Baregu aliongeza kuwa yeye ni muumini wa serikali moja.
Kuna jambo la kujifunza kwenye habari hii:
1. CHADEMA kumbe wanatetea maslahi yao binafsi, na tunaposema maslahi yao tuna maana ya viongozi wa CHADEMA kwa sababu wangekuwa wanatetea na wafuaasi wao wote, basi Baregu angeitikia witowa kuitwa kwenye Kamati kuu kwa vile naye ni mmoja wa wale ambao angenufaika na wito huo, lakini kwa kutambua kuwa kuitwa kwake kulikuwa ni kwa ajili ya wachache akaona mbali;
2. Kwa nini Baregu anasema yeye ni muumini wa serikali moja wakati CHAMA chake kimezunguka nchi zima kutafuta maoni juu ya rasimu ya katiba mpya, bali kuhubiri serikali tatu? Yawezekana kabisa mikakati hii serikali tatu ndani ya CDM ilianza hata kabla ya kuundwa kwa kamati ya Katiba lakini mzee wa watu akaa nalo moyoni kwa vile hakuwa na pa kulisemea. Ni dhahiri kabisa kauli ya BAREGU inalenga kuimarisha muungano wakati harakati za CDM kutumia nguvu nyingi sana kunadi serikali tatu inalenga kuuvunja muungano jambo ambalo linadhihirishwa na kauli mbalimbali za makada wa CDM mfano LISSU alivyosema juzi kuwa CUF ni chma cha WAZANZIBARI.
Sasa haya ni majibu gani kwa mtu anayetaka kujua? Hili jukwaa lina baadhi ya watu ambao ni extemely hopeless.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Makubwa hapa kwenye akili za samaki,hapo kwenye red=cuf!!Kumbe magamba yanajua Baregu yupo kafu?Mkuu kama watu wanamuunga mkono KAGAME unategemea waache kumponda Prof. Baregu japo ameonesha uzalendo mkubwa na kumwaumbua hawa Ma-liberary
Kitu cha kujifunza ni kwamba CHADEMA ni chama ambacho kinathamini maoni ya kila mtu kutokana na haki ya kikatiba ambayo kila mtu amepewa uhuru wa kutoa maoni yake pasipokuingiliwa na mtu yeyote ndiyo maana Baregu hajaingiliwa na chama chake kwa kuwa ni muumini wa serekali 1 na chama chake ni muumini wa serekali 3.Tume ya katiba iliyoteuliwa na wananchi ambayo imepokea maoni ya sekali 1,2 au 3 ndiyo itakayoamuwa.
Kitu cha kujifunza ni kwamba CHADEMA ni chama ambacho kinathamini maoni ya kila mtu kutokana na haki ya kikatiba ambayo kila mtu amepewa uhuru wa kutoa maoni yake pasipokuingiliwa na mtu yeyote ndiyo maana Baregu hajaingiliwa na chama chake kwa kuwa ni muumini wa serekali 1 na chama chake ni muumini wa serekali 3.Tume ya katiba iliyoteuliwa na wananchi ambayo imepokea maoni ya sekali 1,2 au 3 ndiyo itakayoamuwa.