kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Nipo serious nakumbuka nilikuchagua raisi wangu Alafu usiniajiri kwa Kweli utakua hujanitendea haki rais wangu japo Sina chama Ila nilikuamini Sana raisi wangu Naomba uniajiri kama Mimi nilivyo kuchagua 2015