Sipewi unyumba

Sipewi unyumba

sukariyawarembo

Senior Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
167
Reaction score
117
Tuko mwaka wa pili sasa katika mahusiano na huyu kigori.

Ila hatujawahi kukutana nae kimwili hata mara moja.shida ipo kwake yaani hataki kabisa hilo suala kila siku nikumuomba anasema nivute subira.

Na akija anagoma na mi sitaki kumlazimisha nataka anipe kwa ridhaa yake,,lakini naona subiri inavuta punyeto,maana nimesubiri hadi basi.

Nampenda sana siwezi kumuacha kwa kweli.

Mna nini cha kunambia wenzangu juu ya hii inshu na ingekuwa ni nyinyi mngefanyaje?
 
Tuko mwaka wa pili sasa katika mahusiano na huyu kigori.

Ila hatujawahi kukutana nae kimwili hata mara moja.shida ipo kwake yaan hataki kabisa hilo swala kila siku nikumuomba anasema nivute subira.

Na akija anagoma na mi sitaki kumlazimisha nataka anipe kwa ridhaa yake,,lakn naona subiri inavuta punyeto,maana nmesubiri hadi basi,,
Nampenda sana siwez kumuacha kwa kweli.

Mna nn cha kunambia wenzangu juu ya hii inshu na ingekuwa ni nyinyi mngefanyaje???
Wakuu,
Naomba kujua dawa ya vidonda nje ya mdomo yaan kwenye lips..

Kuna jamaa angu kababuka mdomo wa chini,,afu mda mwingne hutengeneza utando mweupe,,

Hali iko ivo jamaa anahangaika sana,,kamdomo kamekuwa kama kameungua moto ivi, yaan kingozi cha juu kinababuka kidogo kidogo.

Wajuz wa mambo naomba kujua dawa yake HASA ZA KIENYEJI.
Wakuu amkeni mnipe dawa.

Wiki ilopita nilipata kadada kazuri,nikaenda nako lodge ,
Kama kawaida yangu nikazama uvinza.

Saiv ndugu zangu mdomo unababuka uku kwa chini afu unatengeneza kama utando ivi.

Asa sijui ni kwa sabab ya uvinza au tatizo nn.

Naombeni dawa ya kujikwamua na hili tatizo.

NB;NIMEAPA SITAZAMA UVINZA KWA MWINGNE YOYOTE BALI KWA MKE WANGU MPENDWA TU.

asanteni.
Wewe hata hueleweki unataka msaada gani
 
Ukiona demu hakupi na sio bikra... JUA KUNA MWANA ANAMLAAAAA UHAKIKA 100%
 
Tuko mwaka wa pili sasa katika mahusiano na huyu kigori.

Ila hatujawahi kukutana nae kimwili hata mara moja.shida ipo kwake yaan hataki kabisa hilo swala kila siku nikumuomba anasema nivute subira.

Na akija anagoma na mi sitaki kumlazimisha nataka anipe kwa ridhaa yake,,lakn naona subiri inavuta punyeto,maana nmesubiri hadi basi,,
Nampenda sana siwez kumuacha kwa kweli.

Mna nn cha kunambia wenzangu juu ya hii inshu na ingekuwa ni nyinyi mngefanyaje???
Endelea kuvumilia tu
 
Nakushauri acha kujiita sukariyawarembo badala yake jiite mfunguavizibovyaasali. Hakika utapewa buyu ufungue kizibo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom