Siyo uvivu ni uchafu tu, kama nguruwe anavyogala gala kwenye mavi yake usizani anapata tabu ndo starehe yake. We unaonekana ukinisimamia kwenye mwendokasi kikwapa chako ni balaa[emoji23][emoji23]Nina house girls wawili.
Tatizo sio uvivu.
Wewe ni jinsia gani
Ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sidhani kama kuna mtu anapenda mke mchafu
Mwezi ? Kah! [emoji3][emoji3] We Mtoa Mada Ndie Anaekufaa.
Mashoga huwa ni wasafi sana nikiona nwanaume anakuwa msafi kupitiliza najua ni chakula
HahaaaSiyo uvivu ni uchafu tu, kama nguruwe anavyogala gala kwenye mavi yake usizani anapata tabu ndo starehe yake. We unaonekana ukinisimamia kwenye mwendokasi kikwapa chako ni balaa[emoji23][emoji23]
Sawa.Mbona kwenye comment yangu nimesema?
HahahahahahahahMwezi ? Kah! [emoji3][emoji3] We Mtoa Mada Ndie Anaekufaa.
Cc: MLEVi MmojaAlisikika mlevi mmoja akisema :
Mtu msafi saaaana Huwa ni mchafu kuliko kawaida.. Yuko radhi akojolee kwenye kikombe kisa tu kasugua sinki asilichafue Kwa sababu tu anataka kukojoa... Chunguzeni
Ndiyo hujabsha lakin we ni mchafu kwa maelezo yako!Kwani nimebisha?
Mi mwenyewe sipendi mwanaume mchafu kabisa
Napenda smart, ambaye usafi kwake ni kitu cha kwanza, nguo safi zimepasiwa, kiatu safi kimepigwa kiwi, kama raba safi rangi ionekane sio unavaa raba haijulikani rangi [emoji849]
Ndani kwake kusafi, kila kitu kimepangwa sehemu yake, sio nguo zinazagaa masoksi kule, jeans kwny uvungu wa kitanda, sufuria halijaoshwa wiki [emoji849],sio geto lina harufu kumi kidogo ukitoka hapo mafua wiki nzima! Nope.
Babe tuchange ninunue hii
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mi mwenyewe sipendi mwanaume mchafu kabisa
Napenda smart, ambaye usafi kwake ni kitu cha kwanza, nguo safi zimepasiwa, kiatu safi kimepigwa kiwi, kama raba safi rangi ionekane sio unavaa raba haijulikani rangi [emoji849]
Ndani kwake kusafi, kila kitu kimepangwa sehemu yake, sio nguo zinazagaa masoksi kule, jeans kwny uvungu wa kitanda, sufuria halijaoshwa wiki [emoji849],sio geto lina harufu kumi kidogo ukitoka hapo mafua wiki nzima! Nope.
Babe tuchange ninunue hii
Sasa nikiwa msafi hivyo wewe kazi yako nini?
Tofauti yangu mimi na wewe mwanamke nini?Usafi wako binafsi iweje kazi yangu mkuu?
Amen dear[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] ubarikiwe mnoNimeshainunua mwenyewe usijali ni kuichukua Tu, mikono yako ya thamani sana