Sipendi mwanamke aniombe hela

Same problem bro.. Na ukitaka kujua kama mwanamke anakupenda kwa dhati, we kuwa mmbahili tu. Asiyekupenda anajichuja mwenyewe.

However, with time learn to appreciate bcoz women are made to RECEIVE.
 
hyo ni roho mbaya saaaana mkuu, kwan we pussy huombi??
 
Hawa wanaume wa Dar wanafurahisha, anakupenda wewe anataka uende umependeza, ale mzigo uondoke, jamani ndiyo maana iliwekwa katikati ya miguu haiko kiganjani.
 
Reactions: irk

Hahahahahaha tunda la katikati
 
Kama ni bahili baki bila mpenzi.mapenzi ni gharama mwanamke ni matunzo ili apendeze na kuvutia.
 
Kama ni hivo tangazeni kama mnauza
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…