Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,211
Nadhan uko sahihi kabsa....wanaume wengi wamekuwa maboila upstairsKuna kila dalili kuwa huku tunakoelekea wanaume tutapoteza kabisa uwezo wetu wa kufikiri.!!
Nadhan uko sahihi kabsa....wanaume wengi wamekuwa maboila upstairsKuna kila dalili kuwa huku tunakoelekea wanaume tutapoteza kabisa uwezo wetu wa kufikiri.!!
hahaha........Hapana mkuu hiyo ni misemo tu ya wahenga. jaribu bahati yako huwezi mkuu si unajua hawa wake zetu siku hizi.
mie jana kuna mmoja nilikutana nae nkashangaa anatoa kondomu kwenye pochi yaani nilichoka mwili na roho
Nitakuundisha[emoji39]Ndio ipi hiyo siijui mie
hahaha........
mkuu we kiboko.......mkuu hebu malizia hii movie iliishaje
Sawa mwwalim wangu sina wasiwasi na hilo. mimi na wewe tena?Nitakuundisha[emoji39]
Mkuu movie iliishia pale alipotoa kondom
Mkuu sijakimbia . kwani unajua akishatoa hiyo unajua nini kinafata zaidi?hahaha.......
mkuu wahenga walisema mtoto akililia wembe mpe.......
kwahiyo hata yeye aliona akupe ulichokua umeomba.......
mbona ukaamua kukimbia?
Fanya utafute miwani aseeNilikutafuta kona zote,
anyway labda nikatafute miwani ili niongeze uwezo wa kuona
Kama jf ingekuwa chakula basi wewe ungekuwa chumvi, kukukosa chakula kinapoozaFanya utafute miwani asee
Manake jf kama chakula yani
Kama jf ingekuwa chakula basi wewe ungekuwa chumvi, kukukosa chakula kinapoozaFanya utafute miwani asee
Manake jf kama chakula yani
Nimegundua kuvuliwa ni raha pia kuliko kuvua mwenyewe
Tuko pamoja mkuu MTOTELA
andika bango chumbani kwako kuwa, ni marufuku kuvua chupi bila idhini ya mwenyeji.Wakuu,
Mimi huwa nachukuia sana tukiwa bed unakuta mwanamke ashavua chupi mwenyewe naweza hata kuacha kuendelea na tendo. Huwa napata mzuka nikimvua mwanamke chupi mwenyewe yaani hapo dah full mizuka.
kama amenunua mwenyewe mwache pia avue mwenyewe maana huna haki hapo...kiherehere cha nini sasa kutaka kumvua mtu chupi ambayo hukuinunua!Wakuu,
Mimi huwa nachukuia sana tukiwa bed unakuta mwanamke ashavua chupi mwenyewe naweza hata kuacha kuendelea na tendo. Huwa napata mzuka nikimvua mwanamke chupi mwenyewe yaani hapo dah full mizuka.
hahahahahaha! jf bwana hakuishagi swaga!Wakuu,
Mimi huwa nachukuia sana tukiwa bed unakuta mwanamke ashavua chupi mwenyewe naweza hata kuacha kuendelea na tendo. Huwa napata mzuka nikimvua mwanamke chupi mwenyewe yaani hapo dah full mizuka.