sipendi masimu haya jamani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sipendi masimu haya jamani.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mphamvu, Oct 17, 2011.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  haya masimu ya kisasa yenye sijui wifi na skype na windows 6, pamoja na ma iphone sijui siyapendi kabisa! ingawa yana features za kisasa zote, mengi ni aidha smartphones au touchscreen., kwanza ni vilaini, ukikaangusha tu kwishney, pili zimepotesa clasic identity yake, mfano, mi ni mpenzi wa samsung, tangu zamani nikiona menyu ya simu hata kwa mbali najua kama ile ni samsung, sasa hv kuna mchezo wa os za simu, zote zinafanana hata kama brand tofauti. halafu imagine simu ya touch inawekewa screen keypad za qwerty, sijui text unaandika vipi kwa raha! keyboard ya kawaida imeundwa kutoshana na fleksibility za vidole zetu, sasa zinawekwa kwa kablakberi au simu ya touch! mwenzenu candybar mpango mzima, kama samsung yangu sgh-d780!
   
 2. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  And we needed to know because.....? Peleka kwnye Complaints and Congrats Forum...
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  mwandikie Stive Jobs @cloudheaven.com
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Tulia kinega, kama unahisi huwezi kuchangia potelea kule. hilo jukwaa ulilolisema ni kwa ajili ya malalamiko yanayohusu forums na member wake. sasa hili la simu za android na 4g ni la jf?
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  simpati aisee, wamenitumia undelivery report?
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu mambo yote ni tab
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mkuu sasa jamaa si alishavuta
   
 8. P

  Paul S.S Verified User

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu huna tofauti na babu yangu, hadi leo anaamini gari bora kabisa ni Landrover 109
  Watu wanasonga mbele wewe unapika makitaimu
   
 9. m

  mbweta JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Usiogope hata samsung wana simu nzuri zenye os za kisamsung samsung badilika wewe.
   
 10. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Tupo kwenye dunia ambayo the only thing people are thinking is about money. That's why Business men believes ''money makes the world go round''.
   
 11. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kaza moyo
   
 12. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  hahaha yani umenifurahisha sana. jaribu kutumia smart phone uizoee ndiyo utajua utamu wake. wajua ukizoea tumia simu zenye os za ukweli kama ios au android au wm hutatamani tena simu zenye embemed os kama hizo unazozisema. dunia inabadirika mkuu na inabidi uende nayo sambamba ni sawa mtu aje aseme daa mimi sipendi windows 7 yani windows 98 ya ukweli mimi naona windows 7 haina dili. test you will find out what i mean mkuu.
   
 13. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Sawa huzipendi, kwani simu za tochi hazipatikani siku hizi? Ndo uzuri wa kuwa na choice.
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  hapana kaka, hata hii simu ninayotumia sio outdated sana, ni moja kati ya javaphones bora kabisa.
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  nay, nimeshatumia symbians, galaxy na iphone kipindi fulani, ila zimenishinda kwa kweli! nabaki kuwa mpenzi wa candybar phones!
   
 16. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  hata mimi natumia sgh-d780, lakini mpaka sasa nashindwa namna ya ku-attach picha. ebu nisaidie
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  sijasema kuwa napenda tochi jameni. mi napenda candybar phones, tatizo langu ni kwanini feature latest zimewekwa kwa androids na windows mobile wakati choice lazma iwe na updates?
   
 18. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  karbu katika ulimwengu wa tech.

  via HTC Incredible S .. hehe
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  kama ni jf tumia pc mode ambayo katika opera haipatikani, jaribu kudownload uc browser version 9.7, itasaidia. kama ni facebook hakuna shida kabisa!
   
 20. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi naona simu ambazo ni latest zinafaida nyingi sana, kwanza zin sensitive camera kuanzia 5MP - 8MP, pili zina uwezo wa kuchukua video movie bila shida yoyote hadi MP4 (1280 -780) ambayo highest quality. Net ndiyo usiseme kabisa, kwa vifu hivyo vitatu kwangu mimi ndiyo msingi wa maamuzi, vinginevyo kama nataka kupokea na kukata Nokia tochi ni simu poa. Kinachokuja hapa ni gharama ya simu hizo, mfano simu ya chini nzuri touch samsung wave II utaipata kuanzia 660,000.00 na kuendelea, ukija kwenye Iphone ndiyo balaa hadi 1.3ml! Kutokana na ughali huo ndiyo maana zinawashinda wengu lakini otherwise ni best phones ever in the world for the time being.
   
Loading...