Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
- Thread starter
- #21
Mimi naona simu ambazo ni latest zinafaida nyingi sana, kwanza zin sensitive camera kuanzia 5MP - 8MP, pili zina uwezo wa kuchukua video movie bila shida yoyote hadi MP4 (1280 -780) ambayo highest quality. Net ndiyo usiseme kabisa, kwa vifu hivyo vitatu kwangu mimi ndiyo msingi wa maamuzi, vinginevyo kama nataka kupokea na kukata Nokia tochi ni simu poa. Kinachokuja hapa ni gharama ya simu hizo, mfano simu ya chini nzuri touch samsung wave II utaipata kuanzia 660,000.00 na kuendelea, ukija kwenye Iphone ndiyo balaa hadi 1.3ml! Kutokana na ughali huo ndiyo maana zinawashinda wengu lakini otherwise ni best phones ever in the world for the time being.
yep, napenda maendeleo kama hayo, ila kwanini features hzo zisiwe katika candybar phones ambazo sio touch wala smartphones? mimi sipendi touch wala smartphones, haki itendeke jameni!