Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,345
haya masimu ya kisasa yenye sijui wifi na skype na windows 6, pamoja na ma iphone sijui siyapendi kabisa! ingawa yana features za kisasa zote, mengi ni aidha smartphones au touchscreen., kwanza ni vilaini, ukikaangusha tu kwishney, pili zimepotesa clasic identity yake, mfano, mi ni mpenzi wa samsung, tangu zamani nikiona menyu ya simu hata kwa mbali najua kama ile ni samsung, sasa hv kuna mchezo wa os za simu, zote zinafanana hata kama brand tofauti. halafu imagine simu ya touch inawekewa screen keypad za qwerty, sijui text unaandika vipi kwa raha! keyboard ya kawaida imeundwa kutoshana na fleksibility za vidole zetu, sasa zinawekwa kwa kablakberi au simu ya touch! mwenzenu candybar mpango mzima, kama samsung yangu sgh-d780!