Sipendi mambo ya kijinga

Sipendi mambo ya kijinga

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,260
Reaction score
22,138
[HASHTAG]#Borrowed[/HASHTAG]

Jana nilipanda daladala, basi nikakaa kwenye siti nimejiachia kuchat. Kuna jamaa akawa katoa mimacho anasoma message zangu bila aibu. Yaani waziwazi anafuatilia ninavyo-chat.

Nikaona ngoja nimtie adabu..... Nikaamua nim-text jamaa, "Oyaa Sheikh Sharif! Ngoja niilipue hii daladala muda ushafika".

Yule jamaa akajirusha dirishani. SIPENDI MAMBO YA KIJINGA.
 
We kiboko umenichekesha sana
 
Huu msemo umepata mashiko kwa kasi ya ajabu sana yaani siku hizi kila msg mwishoni ni sipendi ujinga mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom