Sipendi kuwaita wanafiki we utawaitaje??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
43,590
Points
2,000

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
43,590 2,000
NIMESOMA BLOG MOJA HAWA WATU WANAJIITA SAIDIA SOMALIA NIMEBAHATIKA KUFANYA KAZI ZANGU NYINGI VIJIJINI WAPENDWA
LABDA NISIENDE MBALI KUNA VIJIJI VIKO PEMBEN YA BAGAMOYO NA VINGINE NDANI YA BAGAMOYO. MSIONE RAIS WENU ANATUA NA MISAFARA YA MAGARI 20 ZILE NI LAANA.

NENDEN MKAONE WATU WALIVYOCHOKA WENGINE WANAFIA NYUMBA KUKOSA MLO KWA KUUMWA LEO WANAINUKA HAWA MATAPELI SIJUI NIWAITE WANAFIKI. KUNA MH PEMBENI JE NI VIJIJI VINGAPI WANAKUFA NA NJAA.???

NANI ASIEJUA VILE VIJIJI KULE ARUSHA LOLIONDO WALIOONYESHA NGOMBE ZINAKUFA KWA KUKOSA CHAKULA HUKU WATU WAKIWA MAJUMBANI TAABANI WALIME WAPI, WAPATE CHAKULA WAPI, MAJANI YA MAHINDI YAMEWAKA KAMA AWAKO DUNIANI.

WAKAONYESHA MBEYA KWENYE TELEVISION YA MH MMOJA NAMWONA HAPO HAKUNA MPAKA LEO ALIEENDA KUSAIDIA KATI YA HAWA WANAFIKI.

ILA WAKITOA MILLION 400 KWA SACCOS AAAH UTAWASIKIA NA JIULIZA MPAKA MKAJIKOMBE SOMALIA MMEANGALIA KWENU KUKO SALAMA???JE WEWE UTAWAITAJE HAWA

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,725
Points
2,000

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,725 2,000
Kaka Pdidy yale mambo ya boliti na kibanzi cha mwenzio ndio yanatumika hapa wao wana boliti somalia kibanzi...

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,143
Points
2,000

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,143 2,000
Mkuu! Hivi inakuwaje ktk maandiko yako huwa hufuatit japo kanuni za kawaida? Kama vile koma, kituo nk?
Binafsi huwa navutiwa na hoja zako humu jamvini ila hapo tu!

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
24,830
Points
2,000

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
24,830 2,000
Mkuu! Hivi inakuwaje ktk maandiko yako huwa hufuatit japo kanuni za kawaida? Kama vile koma, kituo nk? Binafsi huwa navutiwa na hoja zako humu jamvini ila hapo tu!
We hizo koma, nukta, n.k zitakusaidia nini?
Mradi topic umeielewa na kama unavyosema hua unazipenda basi changia

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
628
Points
225

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
628 225
Mkuu! Hivi inakuwaje ktk maandiko yako huwa hufuatit japo kanuni za kawaida? Kama vile koma, kituo nk?
Binafsi huwa navutiwa na hoja zako humu jamvini ila hapo tu!
Umenena vema, bora na asikie; asituumize akili kwa kusoma maandishi marefu kama reli bila kituo. Halafu unashangaa nini wao kuisaidia Somalia? Labda hujui hali halisi iliyopo kule; ni critical. Hayo ya hapa kwetu hata serikali yenyewe yaweza tatua, ya Somalia yahitaji msaada wa kila mmoja, pamoja na wewe. Jaribu kuwa na mtazamo mpana; make hata nchi za ulaya kuna maskini hohehahe japo matajiri wa huko hutupatia sisi waafrika misaada. Tafakari kwa kina!

An individual has not yet started living until he can rise above the narrow confines of his individualistic concerns to broader sense of all humanity.
Martin Luther King Jr.

Window

Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
44
Points
0

Window

Member
Joined Aug 14, 2011
44 0
Unaweza kua sawa au lah, lakini mi nadhani thamani ya msaada ipo palepale. Wameokoa maisha haijalishi ni ya nani, life is life.

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,987
Points
2,000

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,987 2,000
Mkuu! Hivi inakuwaje ktk maandiko yako huwa hufuatit japo kanuni za kawaida? Kama vile koma, kituo nk?
Binafsi huwa navutiwa na hoja zako humu jamvini ila hapo tu!
Hiyo inaitwa Pdidy style, ndio iliyompa umaarufu humu jamvini, ukiona maandishi tu huna haja ya kuangalia jina unajuwa tu huyu ni Pdidy.

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Messages
6,772
Points
1,195

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2011
6,772 1,195
Pdidy, acha roho mbaya Somalia kuna hali mbaya sana wanawake na watoto wanakufa kwa njaa.
Nchi yako Tanzania mbona kila siku mnasaidiwa usemi kama unafiki, halafu kingine jaribu kuandika vizuri aiwezekani thread yako aina hata koma moja au kituo. zaidi ya halama 6 za kuuliza

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,987
Points
2,000

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,987 2,000
Msimlahumu sana Pdidy, inategemea anatumia kifaa gani katika kukuletea ujumbe huu, labda aina ya simu yake. maana ingekuwa laptop "it easily to control".
Hujamjuwa Pdidy wewe bado, subili tu utapata burudani mpaka usuuzike, maana kuna wakati utadhani alikuwa anapost kitu huku anakimbilia daladala!!

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
3,838
Points
0

Mwita25

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
3,838 0
NIMESOMA BLOG MOJA HAWA WATU WANAJIITA SAIDIA SOMALIA NIMEBAHATIKA KUFANYA KAZI ZANGU NYINGI VIJIJINI WAPENDWA

LABDA NISIENDE MBALI KUNA VIJIJI VIKO PEMBEN YA BAGAMOYO NA VINGINE NDAN YA BAGAMOYO MSIONE RAIS WENU ANATUA NA MISAFARA YA MAGARI 20 ZILE NI LAANA NENDEN MKAONE WATU WALIVYOCHOKA WENGINE WANAFIA NYUMBA KUKOSA MLO KWA KUUMWA

LEO WANAINUKA HAWA MATAPELI SIJUI NIWIATE WANAFIKI HAPANA KUNA MH PEMBENI JE NI VIJIJI VINGAPI WANAKUFA NA NJAA.???NANI ASIEJUA VILE VIJIJI KULE ARUSHA LOLIONDO WALIOONYESHA NGOMBE ZINAKUFA KWA KUKOSA CHAKILA HUKU WATU WAKIWA MAJUMBA TAABANI WALIME WAPI WAPATE CHAKULA WAPI MAJANI YA MAHINDI YAMEWAKA KAMA AWAKO DUNIAN WAKAONYESHA MBYA KWENYE TELEVISION YA MH MMOJA NAMWONA HAPO AKUNA MPAKA LEO ALIEENDA KUSAIDIA KATIYA HAWA WANAFIKI ILA WAKITOA MILLION 400 KWA SACCOS AAAH UTAWASIKIA NA JIULIZA MPAKA MKAJIKOMBE SOMALIA MMEANGALIA KWENU KUKO SALAMA???JE WEWE UTAWAITAJE HAWA

duh hii ni story au treni ya maneno?

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
11,497
Points
1,225

Shine

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
11,497 1,225
Hiyo inaitwa Pdidy style, ndio iliyompa umaarufu humu jamvini, ukiona maandishi tu huna haja ya kuangalia jina unajuwa tu huyu ni Pdidy.

Mbona nyie mnaoweka nukta na koma mada zenu hazina mbele wala nyuma?

Ze burner

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Messages
490
Points
195

Ze burner

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2011
490 195
hiyo ndiyo principle ya maisha that ITS easier to find a solution for someone else problem. lakini la kwako inakuwa kitendawili hata kama ndo lile lile ulolipatia ufumbuzi kwa mwenzako. teh

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
5,027
Points
2,000

GAZETI

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
5,027 2,000
Mi nimesoma vizuri tu hata sijapata shida, Koma na nukta nilikuwa naweka
mwenyewe kichwani mwangu. Yameeleweka vizuri sana hata kwa mtu
ambaye macho yake hayaoni vizuri.
Tatizo ni mada yenyewe sijamaliza kutafakari hoja.

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,464
Points
2,000

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,464 2,000
Hapa ni ufinyu wa kufikiria. Wazir mkuu alitangaza vijiji kibao vimekumbwa na njaa, hilo halitugusia, ila somalia limetugusa. Hakuna lolote, kuna harufu ya ufisadi hapa.

Forum statistics

Threads 1,353,412
Members 518,338
Posts 33,076,819
Top