Sipendi kuwaita wanafiki we utawaitaje??

hapa ni ufinyu wa kufikiria. Wazir mkuu alitangaza vijiji kibao vimekumbwa na njaa, hilo halitugusia, ila somalia limetugusa. Hakuna lolote, kuna harufu ya ufisadi hapa.

umeshaahau mpwa nimeongea kigoshi zaidi na unafiki sio kwamba awavijui naona mmoja wao ametoka karibu na arusha kabisa na amaeona zile ngombe zinavyokufa na wale watoto walivyolazwa hospitalini wengine majumban hoi leo
wameona somalia sehemu ya kuchukulia jina nikisema awana adabu nakosea nina mzee wangu kule ila wanakaribia unafiki
 
Back
Top Bottom