Sijaona tatizo kwani humuumizi mtu mwingine ila unajiumiza sana wewe mwenyewe. Unahitaji utafute jinsi ya kutoa matatizo yako bila kupata mtu kukuoneshea huruma... Usiyahifadhi moyoni sana. Unaweza chukua karatasi ukaandika, ukajilizaa weee alafu ukachana hiyo karatasi.
Smile always ata kama situations around zinataka unune.