Ikipita mwezi. Watu wanajipanga weekend moja. Wanamkamata kwanguvu.
Wachukua bomba wanamwagia maji analoa na nguo zake . ataenda bafuni mwenyewe kuzivua na hatimaye ataoga. Watamsimamia pale aoge. Akimaliza wanaachana nae. Basi wakati anaoga pale ni makelele na miluzi mtindo mmoja.
Jamani mnisaidie au utakuwa ugonjwa au nimerogwa katika kitu ambacho sipendi ni kuoga sijui kwanini yaani ninaweza pita siku 2 mpaka tatu sijaoga hata nikienda kazini naingia bafuni napiga passport size natoka.