The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,959
- 117,325
Ungekua huko kazini kwako ni gereji usinge enda bila kuoga.Jamani mnisaidie au utakuwa ugonjwa au nimerogwa katika kitu ambacho sipendi ni kuoga sijui kwanini yaani ninaweza pita siku 2 mpaka tatu sijaoga hata nikienda kazini naingia bafuni napiga passport size natoka.
Ha ha haaDah! hii wiki inaenda ndivyo sivyo! natoka kusoma uzi wa kuachana na girlfriend kisa birthday yake inakaribia, halafu nakutana na huu upuuzi!
Ee Mola tusaidie!
Kunya vipi si unakunya?Jamani mnisaidie au utakuwa ugonjwa au nimerogwa katika kitu ambacho sipendi ni kuoga sijui kwanini yaani ninaweza pita siku 2 mpaka tatu sijaoga hata nikienda kazini naingia bafuni napiga passport size natoka.
Daah umenikumbusha mbali sana maisha ya O level.
Kuna jamaa alikua hataki kuoga kabisa yaani ana nawa uso tu alikua anakaa hata wiki mbili hajaoga.
Ila jamaa ikipita mwezi walikua wanamkamata kwanguvu wanamuogesha.
Yaani ilikua akioga mwenyewe bila kulazimishwa inakua News mabweni yote.
Hapo ndo shida inapoanzia,yaani kuoga ni lazima niwe na uhakika wa kulaSiku mbili broo 🙄
mimi namaliza wiki .. kuoga kunachosha mm nikiogaa njaa inakujaa kali sana ..
Lite toto ambalo kuoga ilikuwa mpaka kwao wapike wali limekuwa jitu zima.Jamani mnisaidie au utakuwa ugonjwa au nimerogwa katika kitu ambacho sipendi ni kuoga sijui kwanini yaani ninaweza pita siku 2 mpaka tatu sijaoga hata nikienda kazini naingia bafuni napiga passport size natoka.
Yani kuoga jau sanaSiku mbili broo [emoji849]
mimi namaliza wiki .. kuoga kunachosha mm nikiogaa njaa inakujaa kali sana ..
Mmmmh...[emoji15][emoji15]Kuna vidonge vinaleta hamu ya kuoga,nicheki tufanye biashara.
Kutooga siku tatu bila kunuka[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Nini kimetokea??
Wataalam wa afya wanashauri kuoga kwa wiki ×2... hii inasaidia kutunza ngozJamani mnisaidie au utakuwa ugonjwa au nimerogwa katika kitu ambacho sipendi ni kuoga sijui kwanini yaani ninaweza pita siku 2 mpaka tatu sijaoga hata nikienda kazini naingia bafuni napiga passport size natoka.
[emoji23][emoji23][emoji23]Daah umenikumbusha mbali sana maisha ya O level.
Kuna jamaa alikua hataki kuoga kabisa yaani ana nawa uso tu alikua anakaa hata wiki mbili hajaoga.
Ila jamaa ikipita mwezi walikua wanamkamata kwanguvu wanamuogesha.
Yaani ilikua akioga mwenyewe bila kulazimishwa inakua News mabweni yote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] mmenishinda tabia looh!!Kuna mtu haogi zaidi ya siku 3 na bado anaenda kazini hivo hivo, sio hilo tu aposto pia anaishi mkoa wenye joto sana na anaishi safi tu.
Wadada wengi sana siku hizi sijui kwanini hamlipendi hili vazi..? 🙄Sipendi kuvaa chupi.