Hutajuta mkuu, na ninaamini utaleta ushuhuda humu kwenye uzi huu.I always travel from southern to north-western region of Tanzania. I have been struggling kupata sehemu nzuri ya kulala Dodoma. Kuna siku nusu nusu ini-cost vilivyo.. Niliamua kuvuka level za lodge, nikaamua nikalale tu hotelini. Nikaangukia Mo**na hotel. Wale jamaa one person single room ni 150+, mtu zaidi ya moja ni 170+. Me nimefika jioni sana and nahitaji alfajiri niendelee na safari. Ikabidi tu nirudi kwa ma-lodge uswahilini.
Kuna mtu aliniambia Dodoma ni mojawapo ya sehemu zenye lodge nyingi nzuri na standard but safari zangu zote huwa najaribu kutafuta lodge tofauti tofauti, sijawahi kubahatika kupata lodge nzuri Dom.
Next month ntajaribu kulala moja ya hizi nione.
Huyu atakua na tatito linalohitaji uangalizi wa karibu kutoka kwa ndugu na jamaa.Bado uko maeneo ya mirembe ??!
mwetu tata Gentamycine; olanntuka hano hano na omkali wane alalola ?Dodoma hovyo kabisa kwenye Guest House au Lodge Yaani unaonyeshwa room ya 20k au 25k utachoka mwenyewe.Hata breakfast hakuna ni kulala tuu.Maji utaletewa kwenye Ndoo (anachemsha pembeni huko)
naomba namba yako mkuu; nina hela hapa hazin matumizi, baadae tukazitumie.Kama ni ke mkuu karibia nyumbani sisi ni ndugu hakuna sababu ya kulala guest na mwenyeji wako nipo
una bahati mbaya tu...nzuri.zipo ila. hangamoto kuzipata..nimelala mara kadhaa dom....sijaona hichi mnachosema...tafuta japanies lodge bei poa ipo poa..nenda nkuhungu gesti nyingi bei poa..tahadhari siku za bunge au graduation na vikao vya serikali...utapata tabu sana..zote bookedI always travel from southern to north-western region of Tanzania. I have been struggling kupata sehemu nzuri ya kulala Dodoma. Kuna siku nusu nusu ini-cost vilivyo.. Niliamua kuvuka level za lodge, nikaamua nikalale tu hotelini. Nikaangukia Mo**na hotel. Wale jamaa one person single room ni 150+, mtu zaidi ya moja ni 170+. Me nimefika jioni sana and nahitaji alfajiri niendelee na safari. Ikabidi tu nirudi kwa ma-lodge uswahilini.
Kuna mtu aliniambia Dodoma ni mojawapo ya sehemu zenye lodge nyingi nzuri na standard but safari zangu zote huwa najaribu kutafuta lodge tofauti tofauti, sijawahi kubahatika kupata lodge nzuri Dom.
Next month ntajaribu kulala moja ya hizi nione.
Nimekupm mkuunaomba namba yako mkuu; nina hela hapa hazin matumizi, baadae tukazitumie.
Barabar ya kumi?Nenda Kidia lodge.nzuri na pasafi sana
.breakfast yako heavy sana
Jirani na ulanga kuna forever living kitu Kama hicho. Ukibargain wanakufanyia 15.Acha unafiki, Kwa tanzania hii ukiondoa Mwanza, Dar na Moro sehem yenye guest house nzur na safi ni Dom tena za bei nafuu. Nenda Nkuhungu karibu na four ways Ingia Ulanga vyumba 20k+ bf. Au jirani ipo nyingine wanaita Rhino to mention few.
Morena hotel.... gest za mjini ndio chafu ukitak lodge nzuri anzia area c na nkuhunguI always travel from southern to north-western region of Tanzania. I have been struggling kupata sehemu nzuri ya kulala Dodoma. Kuna siku nusu nusu ini-cost vilivyo.. Niliamua kuvuka level za lodge, nikaamua nikalale tu hotelini. Nikaangukia Mo**na hotel. Wale jamaa one person single room ni 150+, mtu zaidi ya moja ni 170+. Me nimefika jioni sana and nahitaji alfajiri niendelee na safari. Ikabidi tu nirudi kwa ma-lodge uswahilini.
Kuna mtu aliniambia Dodoma ni mojawapo ya sehemu zenye lodge nyingi nzuri na standard but safari zangu zote huwa najaribu kutafuta lodge tofauti tofauti, sijawahi kubahatika kupata lodge nzuri Dom.
Next month ntajaribu kulala moja ya hizi nione.
Mkuu tujuane we ni wa domAcha unafiki, Kwa tanzania hii ukiondoa Mwanza, Dar na Moro sehem yenye guest house nzur na safi ni Dom tena za bei nafuu. Nenda Nkuhungu karibu na four ways Ingia Ulanga vyumba 20k+ bf. Au jirani ipo nyingine wanaita Rhino to mention few.
Mkuu ni kweli Dom kuna guest zimechoka ila kali zipo. Pembeni ya hapo Mirembe (Kikuyu) kuna guest moja mpya mpya. Bado haijawa na wateja wengi. Suma Lodge. Pazuri halafu pasafi sana. Wana huduma nzuri. Very cheap (nadhani wanavutia wateja). Unatembea tu hadi Mirembe.wana forum, nina week moja sasa hapa jijini dodoma, kuna mafunzo flani hivi yanafanyika hapa milembe hospitali.
changamoto ni sehemu ya kulala wakuu, nimezungukia guest za hapa karibu nimeonyeshwa vyumba vyao ,
mmmmmmh, kweli ni wachafu ! bei zao sasa ndo utachoka elfu 20 per dai.
nikapata nyingine ambayo ni angalu wana jitahidi usafi kwa shilingi elfu 30.
asalaleeeeeee kuingia ndani hakuna maji , huduma mbovu,
daaaaaah. kwa mazingira haya sitaki kulala tena guest.
Ombi; nyie mnao miliki haya ma guest house himizeni wafanyakazi wenu kuwa wasafi hata kwa kiwango cha kokoto.
asante.
MIMI
asante sana kaka; ngoja nizitafute hizo ulizo niambia;Mkuu ni kweli Dom kuna guest zimechoka ila kali zipo. Pembeni ya hapo Mirembe (Kikuyu) kuna guest moja mpya mpya. Bado haijawa na wateja wengi. Suma Lodge. Pazuri halafu pasafi sana. Wana huduma nzuri. Very cheap (nadhani wanavutia wateja). Unatembea tu hadi Mirembe.
Hapana mkuu, nie ni mkazi wa dar, ila nipo kwenye civil construction kwa miaka 20 sasa. Dodoma nimejenga MSD Warehouses kule kizota 2012-2013. Tangu hapo nimekuwa nikija dom kwa vipindi tofauti, haswa kunapokuwa na mikutano ya kada yetu kwenye ukumbi wa kikwete.Mkuu tujuane we ni wa dom