Sipendi kulala guest;

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
1,099
Reaction score
1,055
wana forum, nina week moja sasa hapa jijini dodoma, kuna mafunzo flani hivi yanafanyika hapa milembe hospitali.


changamoto ni sehemu ya kulala wakuu, nimezungukia guest za hapa karibu nimeonyeshwa vyumba vyao ,

mmmmmmh, kweli ni wachafu ! bei zao sasa ndo utachoka elfu 20 per dai.



nikapata nyingine ambayo ni angalu wana jitahidi usafi kwa shilingi elfu 30.


asalaleeeeeee kuingia ndani hakuna maji , huduma mbovu,

daaaaaah. kwa mazingira haya sitaki kulala tena guest.





Ombi; nyie mnao miliki haya ma guest house himizeni wafanyakazi wenu kuwa wasafi hata kwa kiwango cha kokoto.



asante.

MIMI
 
Dodoma hovyo kabisa kwenye Guest House au Lodge Yaani unaonyeshwa room ya 20k au 25k utachoka mwenyewe.Hata breakfast hakuna ni kulala tuu.Maji utaletewa kwenye Ndoo (anachemsha pembeni huko)
 
Nenda veta hotel mkuu. Dodoma lodge zipo nzuri tu na bei safi na kila siku zinajengwa mpya.
 
Acha unafiki, Kwa tanzania hii ukiondoa Mwanza, Dar na Moro sehem yenye guest house nzur na safi ni Dom tena za bei nafuu. Nenda Nkuhungu karibu na four ways Ingia Ulanga vyumba 20k+ bf. Au jirani ipo nyingine wanaita Rhino to mention few.
We acha kudanganya uma lodge/ guest za kwenye misongamano ya watu tangu lini zikawa safi aha ha a we naona hujatembea mikoani au hujawahi lala guest za dar.
Mkoa kuna lodge safi kabisa kozi unakuta chunba hakina mteja siku 2/3 na bei iko reasonable.
Kama huamini sogea pale singida au shy afu ulinganishe na za kwenu huku makele kibao na harufu zisizoeleweka.
Mjini pesa wanapata usafi ni changamoto kwa sababu vyumba viko busy sana.
Naona unachanganya usafi na mwonekano wa guest/lodge. Kwa hotels usafi afadhali maana akina kajamba nani hawazimudi.
 
Nimemjibu mleta mada mkoa aliopo kwa sasa, sijasema Dar na sehem zote nilizozitaja hazina guest chafu, ila kwa dodoma guest ya 20k ni nzuri na safi kwa asilimia kubwa tofauti na yeye alivyosema amell ya 30k na bado ni chafu. Sio kwel labda kama alienda simba n co. Kuhusu hii tz. Kuhusu kutembea nchini ndugu yangu mie niweke kundi moja na Baba jesca so kama upo ikungi au manyoni tafuta nyama ya ng'ombe ule maana ukila kuku hapo utaonekana masikini tu.
 

Yawezekana kwakuwa uko maeneo ya Hospitali ya Vichaa / Walemavu wa Akili Milembe pengine nawe ' Uwendawazimu ' umeshakupata hivyo bado hujachelewa unaweza ukawahi tu hapo Kitanda chako chochote Wodini usubiri matibabu yako ya awali ili urudi katika hali yako ya kawaida.
 
Acha unafiki, Kwa tanzania hii ukiondoa Mwanza, Dar na Moro sehem yenye guest house nzur na safi ni Dom tena za bei nafuu. Nenda Nkuhungu karibu na four ways Ingia Ulanga vyumba 20k+ bf. Au jirani ipo nyingine wanaita Rhino to mention few.
I always travel from southern to north-western region of Tanzania. I have been struggling kupata sehemu nzuri ya kulala Dodoma. Kuna siku nusu nusu ini-cost vilivyo.. Niliamua kuvuka level za lodge, nikaamua nikalale tu hotelini. Nikaangukia Mo**na hotel. Wale jamaa one person single room ni 150+, mtu zaidi ya moja ni 170+. Me nimefika jioni sana and nahitaji alfajiri niendelee na safari. Ikabidi tu nirudi kwa ma-lodge uswahilini.
Kuna mtu aliniambia Dodoma ni mojawapo ya sehemu zenye lodge nyingi nzuri na standard but safari zangu zote huwa najaribu kutafuta lodge tofauti tofauti, sijawahi kubahatika kupata lodge nzuri Dom.
Next month ntajaribu kulala moja ya hizi nione.
 
Dodoma hovyo kabisa kwenye Guest House au Lodge Yaani unaonyeshwa room ya 20k au 25k utachoka mwenyewe.Hata breakfast hakuna ni kulala tuu.Maji utaletewa kwenye Ndoo (anachemsha pembeni huko)
Bado uko maeneo ya mirembe ??!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…