Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,576
Ni juu ya utangazwaji wa matokeo ya urais. Shein amekua muungwana sana lakini shinikizo kutoka 'kitengo' linaweza kuchafua kabisa hali ya hewa huko visiwani.
Ni rai yangu kwa the former prezidaa kuwa anachoki engeneer si kizuri. Sioni kama kitatupa any positive impact, but the consequences.

Kwa hiyo na ya ushindi wa Magufuli International observers wanayo?Hawezi kutangaza Seifu kashinda mpaka watakapomaliza matokeo ya ushindi wa Magufuli natarajia kesho watamtangaza bila tatizo lolote kesho jioni kila mtu atajua magufuli ni mshindi hawawezi kubadilisha kitu coz kila mtu anamatokeo mpaka international observers wanayo pia