Sipendi kabisa mwanamke anayesuka

vazi la mwanamke la kwanza ni nywele.. sina maana nywele bandia nywele zake asili...naamini na wewe kuna mapungufu unayo anayachukulia jitahidi umchukulie mwenzio
Sipendi mwanamke yeyote anayeweka nyweli bandia kichwani,napenda mwanamke mwenye nywelule zake tu,ziwe nzuri na safi anazoweza kuosha kila akioga....kuna watu jua likiwaka kichwa kinawasha moto kwa harufu ya manywele bandia
 
Huwez jua inawezekana yy pia kuna kitu hakipendi kwako kavumilia tu moyo machine , myb una kibamia, mfano tu huo...
 
Sasa ww unampenda mtu au unapenda nywele zake ziwe fupi?
 
Jombaa achana na hio biashara kabisa, kumbadili mwanamke ni kujitegenezea bomu and unakuwa controlla bila ww kujijua. Siku akianza kukuchoka ma tabia yako ya kumuamulia nini afanye nini asifanye gemu itakuwa ngumu. Watch out!!!
 
Naona dada wa watu anahisi ni moja ya dalili ya kuelekea kujifunga mkanda. Ameghafirika jitahidi kumshawishi mkuu!
Nmemshawish mkuu,,nmechukua ushaur wa wadau walo weng humu ndani
 
Shukran kwa ushauri murua mkuu
 
Mleta mada lazima utakuwa una mapepo ya kisaba...toa
 
Mambo mengine kuoneana banah,
Sasa km yy anapenda kusuka ndo anyoe eti kwa sababu yko tu? Yy angekwambi uvae pensi hapendi suruali ungekubali?? Au kwa kua anakupenda tu basi ndo umuonee.
Hahaa,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…