miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
hapana mkuu nasema hivyo hata mimi wakati nakua nilikuwa mbishi sana kusuka ila mama yangu akaniambi mwanamke kuwa na nywele ni jambo nzuri na ndiye aliyeniambia vazi la mwanamke la kwanza ni nywele.... na pia wakati fulani baba na na mama walipishana ndani nikamsikia mama anamwambia baba naenda kunyoa nywele huwezi amini mdingi aliomba pooo. so tokea hapo naamini nywele ni muhimu.. sina maana wote wawe hivyo noopamoja mkuu,au una mtetea kwa vile anatokea pande zenu hzo..hahaaa
hahaaa,shukran kwa ushauri wako Mkuu...ntaufanyia kazihapana mkuu nasema hivyo hata mimi wakati nakua nilikuwa mbishi sana kusuka ila mama yangu akaniambi mwanamke kuwa na nywele ni jambo nzuri na ndiye aliyeniambia vazi la mwanamke la kwanza ni nywele.... na pia wakati fulani baba na na mama walipishana ndani nikamsikia mama anamwambia baba naenda kunyoa nywele huwezi amini mdingi aliomba pooo. so tokea hapo naamini nywele ni muhimu.. sina maana wote wawe hivyo noo

karibu tenahahaaa,shukran kwa ushauri wako Mkuu...ntaufanyia kazi
Nywele zipi zipo sehemu kuu 3; kichwani, kwapani na kwenye uwanja wa papuchuvazi la mwanamke la kwanza ni nywele.. sina maana nywele bandia nywele zake asili...naamini na wewe kuna mapungufu unayo anayachukulia jitahidi umchukulie mwenzio
za kichwa mkuuNywele zipi zipo sehemu kuu 3; kichwani, kwapani na kwenye uwanja wa papuchu
shukrani kwa ushaur wako mkuuata mm npo upande wako mkuu, n swala la interest tu. sema waungwana wanashindwa kuelewa. na nafkr hzo n facts ambazo znaweza kutumika kumpata yule umeumbiwa., kuna wengne wanavutiwa na makalio, wengne matit and so on. mm bnafs napenda sana asie na mambo meng, urembo wake zaid ujengwe kwenye mavaz kuliko makeup, unamkuta mtu kajchora uson kawa kama simbilisi jicho la kushoto wanja wa blue la kulia wanja mwekundu, alafu umeptiliza adi shavun wenyewe wanaita sina mume aisee m hapana., ua najhs ata kutapka. na ata nywele mtindo wa afro ua unawapendeza zaid kuliko kuvaa hayo manywele yao bandia..
sema kuhusu inshu yako nenda nae taratbu kama anakupenda kwel ata kuelewa tu. mwanamke mwenye mapenz ya dhat kwako, yaan yule anae kupenda kwel, ua yuko teyar kufanya kila kitu kwa ajili yako ata kuhatarsha maisha yake wakat flan. so swala kama hlo kwake sio big issue just take time and use romantic language
Do you prefer an organic woman?Mkuu wewe ni kama mimi.
Mwanamke akiwa simple..nywele fupi kama namba 1 au kama zipo nyingi basi azifunge kwa nyuma kikorea fulani hivi na ziwe safiii.
Aseeh hapo chochote anachukua kwangu