BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,027
Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye nimebahatika kumpata mdada mmoja hivi wa kibosho...kwa hakika namuelewa saaana nami ananielewa haswaaa....ila shida iliyopo ni kwamba mimi binafsi sipendi kabisa mwanamke anaye suka..
Napenda sana mwanamke anayenyoa kawaida,na kipindi namtokea nilimkuta anasuka, bali niliamini kuwa naweza kumbadilisha.....hivi karibuni nmemgusia suala la kuacha mara moja suala la kusuka na hatimaye aanze kunyoa, tumegombana saaana.Mpaka muda huu, hali bado sio shwariii baina yetu...
Naombeni mnishauri jamani, nitumie mbinu zipi za kumuelewesha aweze kuacha kusuka bila kuathiri mahusiano yetu? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote
NB: Sisi ni wachumba...hatujaoana bado