Hahahaaahh,Hakuna anayependa ila inahitajika kama kinga.
Hata watoto hulia wakichomwa sindano...
Hhashahaahahahah, wee mngese sanaTanzania bila Ukimwi haiwezekani....
Mkuu LEVEL tuko pamoja, hii makitu tuipinge kwa nguvu zetu zote! kwanza ni dhambi sana kuyatumia. mm nikiyaona tu Jongoo analala!
ARV unazipenda?
Haaa...!!!!??? Kumbe ni kwenye uzinzi..!!! Nalifikiri kwenye uzazi wa mpango na mkewe...!!UKIMWI unakuita kama huwezi kutumia CONDOM ni bora ukamtafuta moja ukapime nae na kumuoa kabisa
Haaa...!!!!??? Kumbe ni kwenye uzinzi..!!! Nalifikiri kwenye uzazi wa mpango na mkewe...!!
Ha ha ha.. JF ninavyoipenda nitakunywa sumu juu yake.. Hivi wewe Kongosho ulijua kuna mluga atakuja na maneno kama haya ukatayarisha kabisa hili jibu/swali lako..? Maana limeniacha hoi.. Ni zaidi ya jibu lol..
Kwani umeambiwa wanaotumia wanapenda kuzitumia.jamani naombeni ushauri coz mwenzenu sipend kabisa kutumia condom kwa mademu zangu
Pakaa mafuta ya taa hakuna kirusi atakusogelea na utasahau condom
jamani naombeni ushauri coz mwenzenu sipend kabisa kutumia condom kwa mademu zangu