Sipendi condom

Sipendi condom

Ha ha ha, yeye anadhani wengine hatusikii uchungu kutumia?

Nataka ajiulize kati ya kondomu ana arv kipi anapenda zaidi.
Mi nakuangalia tu....

Tumieni kondom mtuokoe sisi tusiotumia.
 
jamani naombeni ushauri coz mwenzenu sipend kabisa kutumia condom kwa mademu zangu.

Kwenu hakuna aliyewahi kuuguwa UKIMWI!
Kama vipi tembeleaga wagojwa siku moja moja maanake inaelekea kwenu huwa hamuugui mkalazwa!
Kwanza we inaonekana hujawahi kutembelea wagonjwa waliolazwa hospitali!
Afu utoto unakusumbua.
Pumbaafuuu!
 
Kwanini usiache zinaa? Mwogopeni Mungu
 
jitaidi tu.coz ata mm cpendagi lkn kwa hali ilivyo inabidi watu tutumie
 
Wewe ichukulie tu kama dawa. Hakuna anayependa kuchomwa sindano lakini ikibidi huwa tunachomwa ili tupate kupona.
 
Kondom muhim ww....
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376228268025.jpg
    uploadfromtaptalk1376228268025.jpg
    21.3 KB · Views: 145
jamani naombeni ushauri coz mwenzenu sipend kabisa kutumia condom kwa mademu zangu.

Aagh! Janga la wengi hili! Afu kwa Ndom ata sio tamu!
Tutulie na m1 tu, ili tucheze soka letu la asili bila mabuti! Hakuna kuumizana!
 
in reality wanao2mia condom ni waasherati wakubwa hauwez uka2mia condom kama una demu mmoja! na nyie acheni mapenzi bado wadogo! chiii!
 
Tuongee ukweli, usione watu wanakutukana hapa wengi wao kondom ni ishu. Hii ipo sana hasa kwa wanawake. Ukimtomasa tu akazidiwa ukitaka kuchukua kondom utasikia, NO NEED!!! Tena anakasirika kabisa kama sio atalala kama gogo ukivaa kwa lazima. Jamani tuwapeni watu ushauri na sio kuwatisha na kuwakejeli. Kwani kuna mtu asiyejua kwamba kuna ukimwi. Hakuna familia nchi hii ambayo haijawahi kukutana na mgonjwa wa ukimwi!
 
Back
Top Bottom