Sipendezwi na tabia ya walokole

Sipendezwi na tabia ya walokole

Sauti kubwa n kwa ajili yenu nanyi mpate injili
Kwani uliambiwa hatujui kusoma na kuandika au ni viziwi mkiongea kwa sauti ya utulivu hatutasikia? Huo ni Ukorofi katika ubora wake. Ile Lugha ya shakarababa ratishapaba etc mnaitoaga wapi bro?
 
Ile n lugha inayotumika mbinguni kuwasiliana, so hapo tunakuwa tunawasiliana na sir God moja kwa moja bila winga
 
Sasa hamjashtuka tu kwamba ni mungu gani huyo hasikii usiku kucha pamoja na muda kuwa umeenda sana? Hana majibu au
 
Unaachana nao tu, kama hawajakugusa binafsi yako unawapotezea tu , unaendelea kula pombe zako
 
Back
Top Bottom