hela ya kipepo ni hela yeyote unayoipata bila kutoa thamani. Maana zao la thamani ni pesa sasa kama unapata tunda bila kuona mti ni hatari.Hapo umesema ukweli. Je, utaitambuaje hela ya Pepo?
Siku hizi michango ya kanisa wanakuja na daftari tukiwa BarKila mda ibadani mnatukemea sisi walevi mtuache bana sio kila mda kututajataja tunatumia hela zetu mtuache bana.
Halafu inashangaza sana hii kitu Maombi-maombi-maombi!. Kila siku Ni lini watakumbuka kushukuru walau hata kwa hicho kidogo walichojaliwa? Unapoomba manake unashida na unataka mtu wa kukupiga tafu. Sasa kama ni kila siku, basi wewe ni halali uitwe ni Omba-omba ila tu hujaketi pembeni mwa barabara kama wale wenzio.Kuna wale wanaokesha kwenye maombi ya usiku aiseee wanakoshesha usingizi
Hapo ndipo kuna kipengele. Utaitambuaje? Manake hela itolewayo huwa haina maelezo ya jinsi ilivyopatikana.hela ya kipepo ni hela yeyote unayoipata bila kutoa thamani. Maana zao la thamani ni pesa sasa kama unapata tunda bila kuona mti ni hatari.
inasikitisia kwa kweliHalafu inashangaza sana hii kitu Maombi-maombi-maombi!. Kila siku Ni lini watakumbuka kushukuru walau hata kwa hicho kidogo walichojaliwa? Unapoomba manake unashida na unataka mtu wa kukupiga tafu. Sasa kama ni kila siku, basi wewe ni halali uitwe ni Omba-omba ila tu hujaketi pembeni mwa barabara kama wale wenzio.
Wenzao huwa wanatoa shukrani mtu mmoja mmoja na kuna siku maalum (mara moja kwa mwaka)ya kutoa shukrani kwa ujumla. Shukrani sio lazima iwe pesa. Wakulima wanaweza kutoa mazao, wafugaji wanaweza kutoa mifugo na wafanyabiashara wanaweza kutoa Fedha na wengine wanaweza kutoa shukrani ya maneno i.e. Neno Asante e.g. Waliojaliwa Afya njema, walionusurika kwenye ajali na madhila mengine. Ni kutokujua tu kwamba Mungu hahitaji fedha yako bali ni Moyo (Roho) yako.inasikitisia kwa kweli
Hala3u walivy na akili ndogo wakivuna wanapeleka kwanza kwa mchungaji aanzie kubariki halafu kuna wachungaji wengne jau marufuku kunyoa kiduk kusikiliza bongo freva na kwenda hosipitali ni mwendo wa maombi tuWenzao huwa wanatoa shukrani mtu mmoja mmoja na kuna siku maalum (mara moja kwa mwaka)ya kutoa shukrani kwa ujumla. Shukrani sio lazima iwe pesa. Wakulima wanaweza kutoa mazao, wafugaji wanaweza kutoa mifugo na wafanyabiashara wanaweza kutoa Fedha na wengine wanaweza kutoa shukrani ya maneno i.e. Neno Asante e.g. Waliojaliwa Afya njema, walionusurika kwenye ajali na madhila mengine. Ni kutokujua tu kwamba Mungu hahitaji fedha yako bali ni Moyo (Roho) yako.
Ni aina fulani ya kuchizika. Mungu kaumba yote na kakupa vyote uvitumie halafu ww unasimama wima eti unaomba ilhali ulishakabidhiwa uvitumie.Hala3u walivy na akili ndogo wakivuna wanapeleka kwanza kwa mchungaji aanzie kubariki halafu kuna wachungaji wengne jau marufuku kunyoa kiduk kusikiliza bongo freva na kwenda hosipitali ni mwendo wa maombi tu
.Hawaoni dhambi nyingine bali dhambi kwao ni Ulevi, sigara na bangi.Wanaacha kukemea usenge,wao wanakomaa na walevi tu
Hatuna muda huo -Komaeni na hali zenu.Na nyie mtukemee pepo la wokovu litutoke
Bc endeleeni kufurahia maombiHatuna muda huo -Komaeni na hali zenu.
Tumeshasema mnatukera na kutukosesha usingizi kwa maombi yenu Usiku.Bc endeleeni kufurahia maombi
Sauti kubwa n kwa ajili yenu nanyi mpate injiliTumeshasema mnatukera na kutukosesha usingizi kwa maombi yenu Usiku.
Kwani mkiomba mchana maombi yenu hayamfikii mnayemwomba? i.e.Yule mungu wenu wa makelele kana kwamba ni kiziwi hawezi kusikia ni lazima upayuke kwa sauti kubwa?
Mbona wamo humu humu vijijini na maturubali yao.Asa broo huwa unafata nini huko au umejuaje kama hufatilii? Kama vipi kaa nao mbali basi... Wewe ndo unawafatafata.