REFA WA JF
Senior Member
- Jul 26, 2026
- 144
- 319
Kila mda ibadani mnatukemea sisi walevi mtuache bana sio kila mda kututajataja tunatumia hela zetu mtuache bana.
Kula dose...Kila mda ibadani mnatukemea sisi walevi mtuache bana sio kila mda kututajataja tunatumia hela zetu mtuache bana.
Vipi kama ni lile pepo la hela?Tokaa pepo
Mnabaka masikio yetu kwa kutusikilizisha kitu hatutaki.Kijana mpokee Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako acha ubishi, sisi walokole tuendelee kuwahubiria tu hata kama hamtaki....
Hatutaacha kuwahubiria.....na msiache kutoa sadaka mtabarikiwaMnabaka masikio yetu kwa kutusikilizisha kitu hatutaki.
Hiyo sasa ni Fujo. Sadaka zitolewazo kwenu ni Upigaji mtupu kwani hakuana Taarifa ya Mapato na Matumizi hutolewa.Hatutaacha kuwahubiria.....na msiache kutoa sadaka mtabarikiwa
ukila hela ya pepo lazima ulipe kama sio wewe ni kizazi chako.Vipi kama ni lile pepo la hela?
Uje nyumba ya ibada kijana utabarikiwaHiyo sasa ni Fujo. Sadaka zitolewazo kwenu ni Upigaji mtupu kwani hakuana Taarifa ya Mapato na Matumizi hutolewa.
Hapo umesema ukweli. Je, utaitambuaje hela ya Pepo?ukila hela ya pepo lazima ulipe kama sio wewe ni kizazi chako.
Vp, ww ulishabarikiwa au bado upo kwenye hatua ya mapambio?Uje nyumba ya ibada kijana utabarikiwa
Nabarikiwa kila siku karibu tubarikiwe soteVp, ww ulishabarikiwa au bado upo kwenye hatua ya mapambio?
Toa ushuhuda wako hapa ili tukuamini mkuu.Nabarikiwa kila siku karibu tubarikiwe sote