sipati watoto

jamiif

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
2,413
990
ndugu zangu, nina mwaka wa 6 sasa kwenye ndoa yangu, sijabahatika kupata watoto, tumepimwa mimi na mke wangu hatuna tatizo lolote, sasa hatuelewi ni nini shida! nawaomba muongozo ndugu zangu.
 
Mkipimwa na kupewa maelekezo mnafuatilia? Nendeni kwenye maombi, still mnahitaji kujaribu dr mwingine.
 
ndugu zangu, nina mwaka wa 6 sasa kwenye ndoa yangu, sijabahatika kupata watoto, tumepimwa mimi na mke wangu hatuna tatizo lolote, sasa hatuelewi ni nini shida! nawaomba muongozo ndugu zangu.

Watoto hutoka kwa Mungu, mshirikishe plz
 
tulipima miaka mi3 iliyopita, hapo agakhan hosp, ni mara moja tu.
 
ndugu zangu, nina mwaka wa 6 sasa kwenye ndoa yangu, sijabahatika kupata watoto, tumepimwa mimi na mke wangu hatuna tatizo lolote, sasa hatuelewi ni nini shida! nawaomba muongozo ndugu zangu.

Unaishi mkoa gani? nina maana yangu kukuuliza hili.
 
Pole sana ndg yangu, Mungu ni mwema siku zote. Omba na Mungu atakusaidia, pia soma Yeremia 33:3, Matayo 7:7, fungeni pamoja na mkeo, mlilieni Mungu naamini atasikia kilio chenu
 
Muone Dr.Ndodi,hapo Magomeni mwembechai, Itumbi Hotel. Amesaidia wengi wenye tatizo kama lenu.
Mshirikisheni Mungu pia kwa Maombi
 
Mungu wetu atafanya njia hata pasipo na njia amini Mungu atafungua njia ya uzazi kama sarah alizaa uzeeni kwa nini na ninyi msizae? kikubwa Fungeni na Muombe Mungu atawasikia kilio chenu na atajibu kwa wakati.
 
Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu, endelea kumtumainia hakika atakupa hitaji la moyo wako, Mungu hufanya njia pasipo na njia.
 
Back
Top Bottom