Sipati wanaume wa rika langu

Sipati wanaume wa rika langu

young_ma

Member
Joined
Mar 28, 2019
Posts
45
Reaction score
73
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.

Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.

Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.

Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.

Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.

Naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kwahiyo hapa Jf unatafuta mme wa rika lako au unataka ushauri nini ufanye ili upate mme?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu kwanza jarib kuwa social. Jichanganye na watu wa umri wako.
Kumbuka unavutia kutokana na unavyoishi. Umejitenga thats why wanao ku approach ni wazee wazee.
You are an introvent by personality.. thats why uko hivyo. Expand your social barrier. Utafanikiwa.
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.

Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.

Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.

Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.

Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.

Naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada unakuja huko pm
Unacheza mchezo wa hatari sana usipoangalia utalia
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.

Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.

Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.

Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.

Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.

Naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana ela yote..

However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.

Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.

Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.

Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.

Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.

Naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ni agemate wako kabisa tuyajenge kama upo serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa naomba ushauri nifanyaje nipate mpenz wa rika langu

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 25 unataka uolewe na miaka 25 mwenzako??

Kwa haraka haraka na kwa maisha ya bongo , huo umri kwa kijana wa kiume ndo kwaaaanza anatafuta.

Alafu, toka umesoma mkuuu mpaka hapo uko mtaan hapa napale, uko kazin+ harakat za hapa napale sokon ,kutembea n.k ...hujapata tu.

Aya inamaana wee ulipozaliwa home tu...kazin unaenda sijui wazazi ..nahsuwkwatssowuagduejzvakqpaihqagabxkss

Kiukweli hueleweki ..hapa kuna walakini .

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Mwenzi atakuja tu, be yourself, kama unaenda kwenye nyumba za ibada , market place, kazini utakutana nao huko, all in all anza kuishi maisha yako acha kuishi maisha ya wazazi wako( simaanishi uondoke ukapange) try and be social, kama umemuona mtu pahala umevutiwa naye na anakidhi vigezo vyako, jiripue umfungukie!
 
Nikipata hata adi 35 sina shida ila sipati, ninakua nacontact nao ni watu wazima kutokana na nature ya kazi

Na ndio mimi ni nyumbani na kazini tu na nkichelewa rudi wazee wakalii

Na chuo nlishawahi kua na boyfriend ila alkua muhuni sana kias kwamba tulishindwana

Alitake advantage over the fact anajua m nlkua si mtu wa kutoka mara kwa mara hivo akawa na vimada wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzi atakuja tu, be yourself, kama unaenda kwenye nyumba za ibada , market place, kazini utakutana nao huko, all in all anza kuishi maisha yako acha kuishi maisha ya wazazi wako( simaanishi uondoke ukapange) try and be social, kama umemuona mtu pahala umevutiwa naye na anakidhi vigezo vyako, jiripue umfungukie!
Ahsante, ntajitahidi... Ila wazazi wangu wanpenda nisubiri posa ndo ije nyumbani. Na icho kitu mi sikitaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom