Sipati picha waliomo ndani

Sipati picha waliomo ndani

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
1433084707359.jpg1433084735463.jpg1433084752980.jpg
 
Hmm! huu mtihani mzito sana! sipati picha hiyo reverse ilivyopigwa hapo!!!
................................................................................................
Hao simba tu hapo mbele ni tishio kubwa, achilia mbali tembo!

Kuna kesi moja ya jamaa wa S.A kutupwa kwenye hifadhi ya simba weupe akiwa mzima, na akaliwa akijiona mpaka anakufa! Nahisi na hao watu hapo walijitoa sadaka!!!
 
Aliyepiga picha hakutoa msaada wowote???..
 
Kama hilo gari halijabandikwa hapo basi hao wanyama ndio waliobandikwa katika hiyo picha ya mwanzo...

Chini ya uvungu wa gari kuna kivuli lakini chini ya uvungu wa tembo hakuna kivuli kionekanacho...
 
Hapo mbona unasonga mbele hao simba watapisha tu
 
Last edited by a moderator:
Yaaani hapo bora simba kuliko mjamaa kule nyumba anachotakiwa kufanya awaache tembo wapite woote kwanza kisha baadaye sasa ndo apige hon kwa simba simba hawanaga madhara ukipiga hon...yaani asijaribu kupiga hon wakiwepo tembo karibu wanamfanya kama huyo jamaa mtoni ha ha ha....
 
Kama hilo gari halijabandikwa hapo basi hao wanyama ndio waliobandikwa...

Chini ya uvungu wa gari kuna kivuli lakini chini ya uvungu wa tembo hakuna kivuli kionekanacho...

Picha ya kwanza tembo kawekwa
 
Kama hilo gari halijabandikwa hapo basi hao wanyama ndio waliobandikwa katika hiyo picha ya mwanzo...

Chini ya uvungu wa gari kuna kivuli lakini chini ya uvungu wa tembo hakuna kivuli kionekanacho...

Asante, umenitoa tongotongo.
 
Kinanaaaaaaaa,kuja pande hii.kuna dili iko funja cari na abiria Jake ndani.
 
Back
Top Bottom