Sipati Picha Uhuru Kenyatta amfunge Raila Odinga then Afanye ziara Kisumu

Sipati Picha Uhuru Kenyatta amfunge Raila Odinga then Afanye ziara Kisumu

Wafuasi wa waanasiasa wa hapa nchini Wana upeo mdogo sana wa kuchanganua na kujadili mambo......mihemko imetawala kwenye malumbano ya kisiasa kuliko weledi......na ndio tunaishia kutukanana na sio kuelimishana.
 
Roho ya kihalifu tangu lini ikajitambua zaidi ya kuwaza uhalifu.

Chadema siku zote rafiki yenu ni yule anayewaza kama nyinyi.

Na hiyo huwa ni hulka ya ki nyumbu.

Mmoja akirukia mtoni basi wengine wooote hapo hapo.
Bila hata kujihakikishia usalama wao.
Matokeo ni baadhi kusombwa na kasi ya maji mtoni.
Na wengine huishia vinywani mwa mamba.

Piteni na uovu wenu.
If you keep praising an Ignorant while ur brave,you are also an Ignorant!! Keep Praising the Brave!!
 
Sipati Picha Mfano Uhuru Kenyata wa Kenya amfunge Jera Raila Odinga then Uhuru afanye Ziara kule Kisumu au eneo la Nyanza.

Kenya wana utamaduni ambao uko nchi nyingi isipo kuwa Tanzania, Utamaduni wa Kila eneo kulianda kiongozi wao...
Hivi kweli humu jf bado Kuna watu hawajui kuandika namna hii?
 
Mhalifu anapewaje heshima?!
tuache kuingilia kazi ya mahakama.

mhalifu hastahili heshima ndio maana analala gerezani sio nyumbani, maana sehemu sahihi kwa mhalifu yeyote yule ni gerezani.
Hata kina Polepole, Ndugai, Bashiru etc walisema maneno ya viburi kuliko yako haya.

Leo kama wanatamani kuyameza maneno yao, lakini wakati unawasuta .
 
Mhalifu anapewaje heshima?!
tuache kuingilia kazi ya mahakama.

mhalifu hastahili heshima ndio maana analala gerezani sio nyumbani, maana sehemu sahihi kwa mhalifu yeyote yule ni gerezani.
Vipi na kazi za michongo za wabambikiaji wa hapo mtaani kwako?
 
sasa kweli unaweza mlinganisha RAO na huyu muhuni wa siasa aliye gerezani?!!
Futa Kauli yako,Kiongozi wa Chama ambaye pia amewahi kuwa Mgombea wa Urais kamwe hawezi kuwa Muhuni,na Kama kweli ni Muhuni maana yake Mamlaka zenu za Uongozi hazina Macho ya kubaini Wahuni na huo ni Udhaifu mkubwa Sana katika Nchi.
 
If you keep praising an Ignorant while ur brave,you are also an Ignorant!! Keep Praising the Brave!!
Usikimbie hoja bwana mdogo, hakuna ushujaa unaoletwa kwa kueneza ukabila karne ya 21.

Halafu unakimbilia kii-ngereza!

Akili mgando!
 
Ficha ujinga wako,
Kati ya mleta mada na aliyetaka kumuua LISSU ,na aliyemuweka jera Mbowe nani na shetani?
Mjinga mkubwa ni wewe unayechanganya mada.

Hapa hatuongelei risasi za Lissu, tunaongelea upandikizaji wa chuki unaofanywa na mleta hoja.

Ila wewe nyumbu mwenzake unaleta ule wimbo wenu wa nyumbu wa kila siku.

Mbona hatuwaulizi kwa nini mlimuua Chacha wangwe?

Je mnadhani kutumia uvamizi wa Lissu na upotevu wa huyo Saanane ndio wimbo wa kutatua kero za maisha ya wananchi?

Kila jambo analolifanya binadamu lina gharama zake.

Unapoamua kufanya siasa za kiafrika pia kuna hasara na faida zake.

Yaliyompata Lissu ni moja ya hizo gharama za siasa za Dunia.

Lissu sio mwanasiasa wa kwanza na wala wa mwisho kupatwa na madhara.

Wako wengi sana duniani na Afrika kwa ujumla.
Na tunaendelea kuyaona matukio mengi ya namna hiyo yakaendelea kutokea.

Sasa nyinyi kila jambo mnaleta stori ya Lissu!
Ifike mahali mtambuwe wananchi wamewachoka na hiyo hadithi yenu.

Kama alisurubiwa yesu na akasamehe..

Yeye Lissu ni nani asiyejifunza kusamehe?

Mnataka kutuaminisha kwamba nyinyi ni kundi la visasi over...
 
Mhalifu anapewaje heshima?!
tuache kuingilia kazi ya mahakama.

mhalifu hastahili heshima ndio maana analala gerezani sio nyumbani, maana sehemu sahihi kwa mhalifu yeyote yule ni gerezani.
Mahakama kwani imeshatoa hukumu!? Kwa nini unamuita mhalifu wakati hajahukumiwa!? Ngoja upate bahati mbaya ujikute gerezani kwa kosa ambalo hujafanya tena ambalo halina dhamana au lenye dhamana lakini ukakosa wadhamini ndio utajua wewe ni mhalifu au mtuhumiwa.
 
Mjinga mkubwa ni wewe unayechanganya mada.

Hapa hatuongelei risasi za Lissu, tunaongelea upandikizaji wa chuki unaofanywa na mleta hoja.

Ila wewe nyumbu mwenzake unaleta ule wimbo wenu wa nyumbu wa kila siku.

Mbona hatuwaulizi kwa nini mlimuua Chacha wangwe?

Je mnadhani kutumia uvamizi wa Lissu na upotevu wa huyo Saanane ndio wimbo wa kutatua kero za maisha ya wananchi?

Kila jambo analolifanya binadamu lina gharama zake.

Unapoamua kufanya siasa za kiafrika pia kuna hasara na faida zake.

Yaliyompata Lissu ni moja ya hizo gharama za siasa za Dunia.

Lissu sio mwanasiasa wa kwanza na wala wa mwisho kupatwa na madhara.

Wako wengi sana duniani na Afrika kwa ujumla.
Na tunaendelea kuyaona matukio mengi ya namna hiyo yakaendelea kutokea.

Sasa nyinyi kila jambo mnaleta stori ya Lissu!
Ifike mahali mtambuwe wananchi wamewachoka na hiyo hadithi yenu.

Kama alisurubiwa yesu na akasamehe..

Yeye Lissu ni nani asiyejifunza kusamehe?

Mnataka kutuaminisha kwamba nyinyi ni kundi la visasi over...
Kusamehe!? Acha uwendawazimu. KISASI ni HAKI. Anayesamehewa ni mtoto tu. Hata Mungu aliwaangamiza waovu.
 
Watanzania bwana kwa kujifanyaga wanaguta maneno ya Nyerere utadhani alikiwa Mungu,ukabila Tanzania upo tena sana na ndio maana Nyerere aliupigia kelele.
 
Back
Top Bottom