Sipati picha Nape na JPM 2020

Mbona CDM walimwita EL nembo ya Ufisadi lakini baadae Walitumia Choppa kumsifia kuwa ni Kiongozi Muaminifu na Muadilifu. Siasa ni UNAFIKI.
Hahaa umenifurahisha mkuu, tusubirie kumuona JPM akimsifia Nape kuwa ni mchapakazi, mkweli na Mwaminifu hii ndio siasa ya Bongo
 
Mm naona dalili za membe kurudi kwenye kinyanginyiro cha kuomba ccm, kumpitisha kuwa raisi...

Ila kwa JPM atapata upinzani mkubwa sana ndani ya chama, nape ni mtu tu aliyeamua kutoa hisia zake za ndani kwenye jamii..

Naamini wapo mawaziri, watendaji hata viongoz wa kichama, ambao wanataka kusema, lakini wanajaa hofu, hawa huwa ni watu hatar sana...

Rejea wimbo wa "tunaiman na lowasa"..

Rejea pia kujivua uenyekiti wa kamati wa kina " kafumo na vick"..
Hawa n kwa mfano tu, ila wako wengi, na pia naona dalili za makundi makubwa sana, tena moja kubwa sana na lingine dogo( la jpm)..
 
wewe una matatizo kichwani..kitu gani cha ajabu, mbona mama kilango aliyenguliwa ukuu wa mkoa Rais akamteua tena kuwa mbunge..kwa nini mnatafsiri mbovu mtu anapoondolewa ina maana Nape ndio angekaa hapo daima dumu kwa akili yako wewe..eleza basi tofauti ya mitazamo na hulka zao..
Angeenguliwa kama kilango pa bila kushikiwa bastora watu wasingefikiria ya mbele tatizo vitisho adharani unazungumzia kilumumba zaid kiubinadamu haikuwa sawa coz nape co muharifu
 
Hawa wanajuana kwa vilemba! Usishange kesho kutwa akimpa wizara nyingine! Baba Jesca hatabiriki kabsa
Anaweza pewa wizara nyingine na akatenda kazi kama kawaida ila mkulu atabadilika? ili atoe kinyongo cha nape kushikiwa bastora ni historia kwake inaonekana hakutegea ktk chama chake kimgeuke
 
Angeenguliwa kama kilango pa bila kushikiwa bastora watu wasingefikiria ya mbele tatizo vitisho adharani unazungumzia kilumumba zaid kiubinadamu haikuwa sawa coz nape co muharifu
Halafu nyinyi watoto mna shida gani kichwani kudhani kila anaekataa mnachoandika ametumwa na lumumba..kwa aina ya watu wa hivi nchi hii haina future kabisa, no thinking and reasoning..huoni hii kbs kwny wanachoandika.
 
Sasa ukileta fikra za kilumumba na kurahisisha maumivu ya mtu tukueleweje ?
 
Anaweza pewa wizara nyingine na akatenda kazi kama kawaida ila mkulu atabadilika? ili atoe kinyongo cha nape kushikiwa bastora ni historia kwake inaonekana hakutegea ktk chama chake kimgeuke
Haez kubadilika kwa sababu tabia ni ngozi!
Na ashasema hataki kupangiwaa
 
Haez kubadilika kwa sababu tabia ni ngozi!
Na ashasema hataki kupangiwaa
Bhash nivzr waendelee kuwindana 2020 tuendelee kuangalia picture ambalo kwa sasa staring amewadhibiti maadui wote xjui mbele maadui watamdondosha staring ha ha ha ha
 
Sasa ukileta fikra za kilumumba na kurahisisha maumivu ya mtu tukueleweje ?
Wewe unajua mwenendo wote wa Nape wa siku hiyo??? kwa nini hukunyoshewa wewe hiyo bastola..kwa yeye, kwa nini wkt huo..kwa nini haikuwa asbh..fikiri usijudge tu kwa kile unachoona.
 
Wadau hebu tujaribu kuvuta taswira ya uchaguzi ujao Wa mwaka 2020 kati ya makada hawa wawili ndani ya CCM.

Najaribu tuu kujiuliza je? JPM atampitisha Mh. Nape kugombea kupitia jimbo la Mtama Kama Nape atagombea?

Na Kama Nape atapitishwa kugombea je, atasimama kidete kumnadi JPM kuwa ni kiongoz safi anafaa kuchaguliwa tena? Na JPM je atamnadi vizur Mh.Nape kuwa anafaa?

Kwa hali ninavyo ona ktk darubini, huenda mmoja wao jina likakatwa. Hii inatoka na mitazamo yao hulka zao na nini wanacho amini kutofautiana Sana.
Nape alishasema hana kinyongo na Magufuri.Tatizo Magufuri maana hadi kwenye kuapisha alisema Nape kafanya kosa moja..Waswahili walisema kosa moja haliachi mke, ila kwa sababu nape sio mke ameachwa.
 
Msidanganyike na siasa, Magufuli tangu ampige chini Nape hakuwahi kutamka hata jina lake, Nape aliishia kumsifia rais, moja kwa moja hapa hakuna ugomvi japo tunahisi tu kuna chuki za ndani kwa ndani. Aidha magufuli anatambua wazi mchango wa Nape kwa yeye kuwa pale Magogoni, sasa niwakumbushe kuwa muda utafika nape atapangiwa kazi maalumu na mkuu wa nchi
 
Back
Top Bottom