Nimekuwa mfuatiliaji wa urafik kati Mh. Membe na ndg Nape Nnauye kwa siku za karibuni ila kwa mchezo huu wataumbuka.
-Mh. Membe ameanza harakati za chini chini za kutaka kutuchagulia kongozi wa jimbo letu la Mtama ambapo kwa mtazamo wake Nape ndo ameona anafaa.
-Ikumbukwe kuwa Mh. Membe baada ya Uchaguzi wa mwaka 2010 alisema hatogombea tena kwa nafasi ya Ubunge kwa kuthibitsha suala hilo alianza kufanya mambo ambayo kimsingi hayapaswi kufanywa na kiongoz wa wananchi kwani aliamua kuliondoa gari la wagonjwa (ambulance) la Zahanati ya Mtama na kulipeleka kwao RONDO pia gari la ofisi ya Jimbo lilikuwa na linakaa dukani kwake Lindi mjini (OTTAWA HARDWARE) ambapo ni zaid ya km 60 kutoka ofisi ya jimbo.
Hoja Msingi Kwa Nini Membe anamuandaa Nape aje kuwa mgombea Ubunge Jimbo la MTAMA..?
1. Mwaka jana Mh. Membe alienda Mtama mwezi wa 5 na kusema kwa baadh ya viongoz kuwa atamleta mgombea ila hakusema ni nani baadaye mwaka jana hiyo hiyo Mh. Membe alienda na ndg Nape jimboni Mtama ambapo kulikuwa na mkutano na Mh. Membe alipaza sauti kuwa mgombea atakayefuata ni ndg. Nape baada ya yeye kuacha kugombea ila kutokana na muamko wa vijana waliochoshwa na siasa za ufalme walitoa maneno machafu alichokiamua Mh. Membe ni kulirudisha gari la Wagonjwa.
2.Wiki jana Mh. Mmebe tena akiongozana na ndg. Nape walienda Mtama kuendeleza mikakati yao ambapo waliamua kufuturisha watu na pia sisi kama watu wa Mtama tuliamua kufanya harambee kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyoo shule ya sekondari Mtama ghafla Mh. Membe na Ndg. Nape walikuja na kuahidi kuchangia mil 5(Membe mil 3 & Nape mil 2) je siku zote walikuwa wap?
3.Jambo la mwisho na ambalo la kushangaza Mh. Membe ili kuhakikisha Ndg. Nape anafanikiwa anamtangaza kuwa Ndg Nape ni mzaliwa wa kata ya Nyangamara tarafa ya Mtama jambo ambalo sio kweli kwan watu wa huko Nyangamara hawamjui kabisa.
Hitimisho: hakuna utawala wa kifalme siku hizi!