[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwanaume muoaji sio muoaji tu . ukiona mwanamme yupo 35-45 hajawai kuoa jipeleke kwa kunyata sana maana utaumizwa hadi maini .bora udate mzee aliefiwa na mke wa miaka 60-100
Pia huwa hawajui nini wanataka, wana ego za ajabu sana.kwanza hawajui kupenda? yaani ni ngumu sana hata ufanye nini kuwin moyo wake .maana huna chochoter cha kumpa ana uwezo wa kupata chochote.kama ni sex anaweza hata kununua, umri huo uchumi nao unakuwa umestabilize hela anayo yaani ni ngumu sana kumuingia mwanaume wa miaka 35-45
Vipi tena bff?
Hivi ùmeninunia au upo busy sana?Vipi tena bff?
Huu ndo ule ule wa "guys be like" ( ndo maana mwishoni ameandika c&p). Ghafla nimemmiss FisadiKuu eti tehHuu uzi nimekutana nao kwenye similar threads,unaonekana ni wa kitambo ila unaishi.
Heaven Sent mliwaza sawa
Mie nikahisi umejitoa jf[emoji134]Hivi ùmeninunia au upo busy sana?
Oooh kumbe!!Huu ndo ule ule wa "guys be like" ( ndo maana mwishoni ameandika c&p). Ghafla nimemmiss FisadiKuu eti teh
Sikio la kufa sio?Huu uzi nadhani kuna mdada aliupost kipindi fulani.
Na bado hatujajifunza na tumegoma kujifunza hahaha
Maharage ya kwetu Mbeya mweehHahaaa makavu live ya Heaven Sent, siku hiyo sijui alikula maharage ya wapi yule!!?
Shem Malcom nilimsoma jana au juzi; mzee wa bar ndo sijamuona muda
Ukute ndio zero iq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85]Shem Malcom nilimsoma jana au juzi; mzee wa bar ndo sijamuona muda
@mito nae kawa adimuu, mzee wa 'semosi'Maharage ya kwetu Mbeya mweeh
Siwezi kujitoa JF nìpo sana tu. Mwanaume wenye 3s[emoji658] walikufanyaje?Mie nikahisi umejitoa jf[emoji134]
Maana umeadimika hatari.
Yawezekana 🤷🏼♂️😁Sikio la kufa sio?
Hahaa atakuwepo tu anadowea chai kwa semosi huko@mito nae kawa adimuu, mzee wa 'semosi'
Ukute ndio zero iq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85]
Maana alisema ana id nyingi.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahahahahaha daaah we Atoto weweUkute ndio zero iq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85]
Maana alisema ana id nyingi.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahahahahaha daaah we Atoto wewe
Umemissika walah, good to see you.Hahahahahahaha daaah we Atoto wewe