"Sipati mke wa kuoa"Part 1

Tatizo wasio kuwa na gari na nyumba wanakutana na wanaotaka hivyo vitu.

Wenye gari na nyumba wanakutana na wanawake wanaopenda furaha na gari na nyumba si 'kitu' saana kwao.

Kujitambua ndio jambo LA msingi saana.
 
Wanawake ndio mumewajenga vijana wengi kuwa hivyowalivyo na mawazo hayo, yanakuumiza lakini ndio mavuno ya ubaguzi wenu wa kubagua mwanaume suruale na mwanaume pesa. Huo ni ugonjwa wa akili vijana wengi wanaugua na kirusi kilichosababisha ni ninyi wanawake, kijana hata awena elimu take ya kumtosha, mtanashati, mwenye focus ya maisha ila bado tu hajashika channel mnamuona pimbi.
Ukikutana na mwanamke anaejitapa anajitambua ujue keshapitia mengi kama sio yote ktk mahusiano na sarakasi zake.
Mwingine umuri ukiwa unamuanga basis atajiita anajitambua but too late.
Tena nyamaza kimya nisikusikie tena ukilalamikia swala hilo.
 
Teh teh..Umenikumbusha kipindi hicho unaenda kumtongoza msichana mkononi umebeba passport,shingoni umening'iniza flash disk na kiunoni una mifunguo kibao kama mlinzi..
 
baebc0d5c89a9c933558d2540dac4fc9.jpg
 
Teh teh..Umenikumbusha kipindi hicho unaenda kumtongoza msichana mkononi umebeba passport,shingoni umening'iniza flash disk na kiunoni una mifunguo kibao kama mlinzi..
hebu acha kunichekesha bana
Upo wewe ntu?
 
Wanawake ndio mumewajenga vijana wengi kuwa hivyowalivyo na mawazo hayo, yanakuumiza lakini ndio mavuno ya ubaguzi wenu wa kubagua mwanaume suruale na mwanaume pesa. Huo ni ugonjwa wa akili vijana wengi wanaugua na kirusi kilichosababisha ni ninyi wanawake, kijana hata awena elimu take ya kumtosha, mtanashati, mwenye focus ya maisha ila bado tu hajashika channel mnamuona pimbi.
Ukikutana na mwanamke anaejitapa anajitambua ujue keshapitia mengi kama sio yote ktk mahusiano na sarakasi zake.
Mwingine umuri ukiwa unamuanga basis atajiita anajitambua but too late.
Tena nyamaza kimya nisikusikie tena ukilalamikia swala hilo.
we kaka mbona povu hivyo jamani
Ni kukosa tu kujielewa kwa hao vijana sio kila lawama mzilete upande huu

Mmh mimi bado kigoli sijafika umri wa kupanic
 
Tatizo wasio kuwa na gari na nyumba wanakutana na wanaotaka hivyo vitu.

Wenye gari na nyumba wanakutana na wanawake wanaopenda furaha na gari na nyumba si 'kitu' saana kwao.

Kujitambua ndio jambo LA msingi saana.
Ni kweli hilo ndio tatizo, na ndio maisha hayo sasa
 
ujue tumetofautiana kutokana na mazingira tuliokulia, wengine hayo magari na nyumba ni kawaida
A man should have more to offer than that, we kama gari na nyumba ndio unaona umefika basi kheri dada
Ata kama umekulia na unayalalia amna mtu anayependa maisha ya shida kwa kwelii kwa sasa...
 
we kaka mbona povu hivyo jamani
Ni kukosa tu kujielewa kwa hao vijana sio kila lawama mzilete upande huu

Mmh mimi bado kigoli sijafika umri wa kupanic
Kaa na jibu lako akinili kwa maswali haya. Tangu
ulipojitambua kuwa unajitambua ulishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kijana asieweza kukuhudumia?kama ndio ulimheshishimu? Kama hapana kwanini? Je kwa sasa upo na mtu wa aina ipi? Usinijibu.
 
Huu uzi nadhani kuna mdada aliupost kipindi fulani.

Na bado hatujajifunza na tumegoma kujifunza hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom