Sipati mimba

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
438
65
Binti alikuwa anaongea na mama yake:
Binti: Mama, nakuhakikishia siwezi kupata mimba katika uanafunzi wangu, mpaka nitakapoolewa.
Mama: Loo mwanangu, utakuwa umenipa heshima kubwa sana mimi mama yako.
Binti: Ndio maana natembea na kondom za kutosha kwenye pochi yangu.
 
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
!!!!!!!!!!!!!!
!!!!!!!!!
!!!!!!
!!!!
 
Back
Top Bottom