Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Wakuu habari zenu,
Najuta na nathubutu kusema kwamba sitokaa nipande tena magari ya magazeti kwani spidi zao ni za kuogopa na kidogo tu tungepata ajali pale Wami kama si kudra za mwenyezi mungu.
Tulitoka Arusha saa 8 mchana na tumefika Dar saa 2 usiku. Kama una moyo mwepesi usije ukapanda hata siku moja.